UCHUMBA WA RECHO, SAGUDA WASENGENYWA!

Stori: Brighton Masalu UCHUMBA wa muda mrefu kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ na Saguda George ‘Polite’ umeanza kusengenywa na baadhi ya wadau wakidai umekuwa wa muda mrefu bila kuwepo kwa dalili yoyote ya kuoana. Rachel Haule ‘Recho’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, mmoja wa rafiki wa Recho ambaye pia ni msanii wa filamu (jina tunalo) alisema wasanii wenzake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
RECHO AMTOKEA SAGUDA UPYA!
11 years ago
GPL
SAGUDA AMUANDALIA KISOMO RECHO
11 years ago
GPL
MZIMU WA RECHO WAMTESA SAGUDA
11 years ago
GPL
SAGUDA AKABIDHI MALI ZA RECHO UKWENI
10 years ago
GPL
PICHA ZA RECHO ZAMZUIA SAGUDA MAMBO YA MAPENZI
11 years ago
GPL
MBOTO: SAGUDA ALIKIONA KIFO CHA RECHO
11 years ago
GPL
UCHUMBA WA MASOGANGE WATIBULIWA
10 years ago
GPL
UCHUMBA WA WASTARA WAVUNJIKA
11 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Askofu: 70% wanaishi uchumba sugu
ASKOFU msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Eusebius Nzigirwa amesema kuwa asilimia 70 za ndoa zinazofungwa, maharusi wanakuwa tayari wameishi unyumba muda mrefu, jambo alilodai ni kinyume...