Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAGUDA AKABIDHI MALI ZA RECHO UKWENI

Stori: Shani Ramadhani
ALIYEKUWA mchumba wa marehemu Rachel Haule ‘Recho’, George Saguda amesema ameamua kupeleka mali zote za marehemu kwa ndugu zake ili wao wajue utaratibu wa kuzitumia. George Saguda akiwa na aliekuwa mchumba wake marehemu Rachel Haule ‘Recho’ Akizungumza na paparazi wetu, Saguda alisema kwa sasa hahusiki na suala la mirathi ya Recho japo alikuwa akiishi na marehemu kama mke wake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MZIMU WA RECHO WAMTESA SAGUDA

Stori: Erick Evarist WAKATI Arobaini ikitarajia kufanyika jana, mchumba wa marehemu Sheila Haule ‘Recho’, George Saguda ameeleza kuwa bado aliyekuwa mchumba wake huyo anamtesa kwa kumtokea mara kwa mara. Marehemu Sheila Haule ‘Recho’, akiwa na mpenzi wake George Saguda enzi za uhai wake. Akizungumza na mwanahabari wetu, Saguda alisema marehemu amekuwa akimtokea akiwa usingizini na kumsisitiza kuhusu...

 

10 years ago

GPL

RECHO AMTOKEA SAGUDA UPYA!

GEORGE Saguda ambaye mchumba wake, marehemu Rachel Haule ‘Recho’ wiki iliyopita alitimiza mwaka mmoja kaburini, anadai kutokewa na mzimu wake ukimueleza mambo mbalimbali hasa akiwa katika wakati mgumu. Akipiga stori na gazeti hili, Saguda alisema tangu alipofariki mchumba wake amekuwa akiishi kwa mateso kwani amejaribu kuwa na mwanamke mwingine ili kupoteza mawazo lakini imeshindikana. “Mzimu wa Recho hivi sasa...

 

11 years ago

GPL

UCHUMBA WA RECHO, SAGUDA WASENGENYWA!

Stori: Brighton Masalu
UCHUMBA wa muda mrefu kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ na Saguda George ‘Polite’ umeanza kusengenywa na baadhi ya wadau wakidai umekuwa wa muda mrefu bila kuwepo kwa dalili yoyote ya kuoana. Rachel Haule ‘Recho’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, mmoja wa rafiki wa Recho ambaye pia ni msanii wa filamu (jina tunalo) alisema wasanii wenzake...

 

11 years ago

GPL

SAGUDA AMUANDALIA KISOMO RECHO

ALIYEKUWA mchumba wa msanii wa filamu Bongo, marehemu Sheila Haule ‘Recho’, George Saguda amesema baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, sasa anajiandaa kwa ajili ya kisomo cha kumkumbuka mwenzake huyo. Marehemu 'Recho' na a liyekuwa mpenzi wake…

 

10 years ago

GPL

PICHA ZA RECHO ZAMZUIA SAGUDA MAMBO YA MAPENZI

Stori: Gladness Mallya
ALIYEKUWA mchumba wa msanii wa filamu Bongo, marehemu Sheila Haule ‘Recho’,  George Saguda amefunguka kuwa picha za mwanadada huyo zimekuwa zikimfanya asiwe na hisia za kuwa na mwanamke mwingine. George Saguda akiwa na aliyekuwa mchumba wake marehemu Sheila Haule ‘Recho’. Akipiga stori na gazeti hili hivi karibuni, Saguda alisema tangu mchumba wake huyo afariki dunia...

 

11 years ago

GPL

MBOTO: SAGUDA ALIKIONA KIFO CHA RECHO

Stori: Shakoor Jongo KOMEDIAN mahiri Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ amefunguka kuwa Saguda alikijua kifo cha mpenzi wake, Sheila Haule ‘Recho’ kutokana na kauli zake alizokuwa akimwambia pindi alipokuwa akimuomba acheze filamu na mkewe kisha akafariki kabla haijatoka. Saguda akiwa na siamanzi baada ya kuondokewa na mkewe Recho Haule. Akizungumza katika mahojiano maalum aliyofanya na paparazi wa Global TV...

 

5 years ago

CCM Blog

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKABIDHI MALORI MATATU KATIKA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA

  Na ASP. Lucas Mboje, Dodoma.KATIKA kuimarisha shughuli za Kikosi ujenzi cha Shirika la uzalishaji mali la Magereza(SHIMA). Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee amekabidhi malori matatu (03) mapya aina ya TATA yenye thamani ya zaidi ya milioni 400 Tsh ambayo yatakayotumika katika miradi mbalimbali ya ujenzi ya Shirika hilo hapa nchini.
Akizungumza katika makabidhiano ya magari hayo leo Juni 1, 2020 jijini Dodoma, Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee amesema kuwa kwa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA SULEIMAN MZEE AKABIDHI MALORI MATATU SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee(Kushoto) akikabidhi funguo za malori mapya kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina leo Juni 1, 2020 katika Viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, jijini Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akijaribu kuliwasha moja ya lori kabla ya kukabidhi malori mapya matatu kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina(hayupo pichani) leo Juni 1, 2020 katika Viwanja...

 

10 years ago

GPL

MUME AJINYONGA UKWENI

Na Gregory Nyankaira, Butiama, Mara.
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyamisisi, Kata ya Kukirango, wilayani Butiama,  Ryakora Kurwijira (34) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shati lake akiwa ukweni baada ya kukataliwa na mkewe aliyekuwa akiishi naye. Marehemu Ryakora Kurwijira (kushoto) aliyejinyonga hadi kufa baada ya kuachwa na mkewe(wa pili kushoto). Habari zilizopatikana kutoka kwa ndugu wa karibu, zinaeleza kwamba marehemu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani