Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHUMBA WA WASTARA WAVUNJIKA

Uchumba wa mastaa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma na Bond Bin Suleiman ambao ulikuwa umepamba moto huku hivi karibuni ikidaiwa wataoana baada ya uchaguzi, umevunjika baada ya Wastara kusalitiwa.  ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1PKsvfy

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Uchumba wa Jack Wolper Wavunjika

ULE uchumba wa mwigizaji Jacqueiline Wolper na Mkongo ambao ulipamba vyombo vya habari kwa miezi kadhaa iliyopita, hatimaye umevunjika rasmi huku daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dk. Fadhili Emily akitajwa, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.

Wolper alivalishwa pete ya uchumba kwa mbwembwe katika hoteli moja moja maarufu jijini Dar ambapo mwanaume huyo raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo aliahidi kumuoa hivi karibuni huku akijiweka karibu na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkutano wa wakulima, wafugaji wavunjika

>Wakati Jeshi la Polisi likilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwatawanya watu, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedict Ole Nangoro, ametuhumiwa kuchochea mgogoro wa wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkutano Mkuu wa ODM wavunjika

Mkutano Mkuu wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM umevunjika baada ya kutokea vurugu baina ya pande mbili zilizokuwa zikitofautiana ndani ya chama hicho.

 

11 years ago

GPL

MKUTANO WA DK SLAA WAVUNJIKA KASULU MJINI

Umati wa wananchi waliokusanyika kumsikiliza Dk. Slaa leo mjini Kasulu Uwanja wa Kiganamo kabla ya mkutano kuvunjika.…

 

10 years ago

Mwananchi

Risasi zarindima BVR, mkutano ZEC wavunjika

Wakati watu watano wakijeruhiwa, wawili kwa kupigwa risasi, kwenye uandikishaji wa wapigakura eneo la Makunduchi, mkutano baina ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar na wadau umevunjika kutokana na mzozo wa mgwanyo wa majimbo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mkutano wa CUF wavunjika kabla ya muda kufika

Zanzibar. Chama cha Wananchi (CUF) kimedai wafuasi wa CCM walivuruga mkutano wa kampeni za mgombea wao wa urais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad uliofanyika juzi kwenye Viwanja vya Kwa-Binti Amrani, Wilaya ya Mjini Unguja. CUF wanadai […]

The post Mkutano wa CUF wavunjika kabla ya muda kufika appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Habarileo

Mkutano wa maji Goba wavunjika, watano mbaroni Kigogo

Naibu Waziri wa Maji, Amos MakallaMKUTANO wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla na wakazi wa Goba wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, ulivunjika jana kutokana na vurugu za wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuzingatia Mambo ya msingi katika katiba wavunjika kwa tafrani kubwa

Tafrani kubwa imezuka jioni ya leo wakati wa Mdahalo uliondaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere wa kujadili umuhimu wa kuzingatia Mambo ya msingi katika katiba inayopendekezwa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliokuwa ukifanyika kwenye Ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza, Jijini Dar es salaam.
Chanzo cha Tafrani hiyo, inaelezwa kuwa ni Baada ya Mh. Warioba katika taarifa yake kueleza kwamba Muungano sio tunu ila ni urithi ulioachwa na Waasisi,ndipo baadhi ya watu waliokuwepo...

 

10 years ago

GPL

UCHUMBA WA MASOGANGE WATIBULIWA

Stori: Mwandishi Wetu SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa. Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume wamepeleka maneno ya kimbeya kwa mpenzi wake huyo yakiashiria kuwa mrembo huyo hajatulia. Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwe hawezi kuachana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani