Mkutano wa maji Goba wavunjika, watano mbaroni Kigogo
MKUTANO wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla na wakazi wa Goba wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, ulivunjika jana kutokana na vurugu za wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Mkutano Mkuu wa ODM wavunjika
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Mkutano wa wakulima, wafugaji wavunjika
11 years ago
GPL
MKUTANO WA DK SLAA WAVUNJIKA KASULU MJINI
10 years ago
Mzalendo Zanzibar13 Sep
Mkutano wa CUF wavunjika kabla ya muda kufika
Zanzibar. Chama cha Wananchi (CUF) kimedai wafuasi wa CCM walivuruga mkutano wa kampeni za mgombea wao wa urais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad uliofanyika juzi kwenye Viwanja vya Kwa-Binti Amrani, Wilaya ya Mjini Unguja. CUF wanadai […]
The post Mkutano wa CUF wavunjika kabla ya muda kufika appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Risasi zarindima BVR, mkutano ZEC wavunjika
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Wanne mbaroni mauaji ya kigogo Chadema
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Kigogo mbaroni kwa mauaji ya albino
NA PETER FABIAN, MWANZA
KIONGOZI wa chama kimoja cha siasa mkoani Mwanza (jina tunalo) anashikiliwa na Jeshi la Polisi akihusishwa na uhalifu wa utengenezaji wa noti bandia, utekaji na mauaji ya albino katika maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa.
Habari za uhakika zilizolifikia MTANZANIA kutoka vyanzo vyetu vya habari zimesema kuwa kigogo huyo alikamatwa wilayani Magu Februari 26, mwaka huu saa 7:00 usiku.
Kigogo huyo ambaye anadaiwa kuhusishwa na utekaji wa mauaji ya albino alikamatwa baada...
11 years ago
GPL
MKE WA KIGOGO MBARONI KWA WIZI WA MAGARI
10 years ago
Habarileo24 Feb
Wahitimu watano JKT watiwa mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia vijana watano wa kundi la wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za kufanya uchochezi na kufanya mikusanyiko isiyo halali jijini Dar es Salaam.