Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano Mkuu wa ODM wavunjika

Mkutano Mkuu wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM umevunjika baada ya kutokea vurugu baina ya pande mbili zilizokuwa zikitofautiana ndani ya chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mkutano wa wakulima, wafugaji wavunjika

>Wakati Jeshi la Polisi likilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwatawanya watu, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedict Ole Nangoro, ametuhumiwa kuchochea mgogoro wa wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara.

 

11 years ago

GPL

MKUTANO WA DK SLAA WAVUNJIKA KASULU MJINI

Umati wa wananchi waliokusanyika kumsikiliza Dk. Slaa leo mjini Kasulu Uwanja wa Kiganamo kabla ya mkutano kuvunjika.…

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mkutano wa CUF wavunjika kabla ya muda kufika

Zanzibar. Chama cha Wananchi (CUF) kimedai wafuasi wa CCM walivuruga mkutano wa kampeni za mgombea wao wa urais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad uliofanyika juzi kwenye Viwanja vya Kwa-Binti Amrani, Wilaya ya Mjini Unguja. CUF wanadai […]

The post Mkutano wa CUF wavunjika kabla ya muda kufika appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Risasi zarindima BVR, mkutano ZEC wavunjika

Wakati watu watano wakijeruhiwa, wawili kwa kupigwa risasi, kwenye uandikishaji wa wapigakura eneo la Makunduchi, mkutano baina ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar na wadau umevunjika kutokana na mzozo wa mgwanyo wa majimbo.

 

11 years ago

Habarileo

Mkutano wa maji Goba wavunjika, watano mbaroni Kigogo

Naibu Waziri wa Maji, Amos MakallaMKUTANO wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla na wakazi wa Goba wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, ulivunjika jana kutokana na vurugu za wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma azindua mkutano Mkuu wa 32 wa mwaka wa TPHA

DSC_2704

Picha ya pamoja ya baadhi ya washiriki wa mkutano Mkuu wa 32, wa mwaka wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) muda mfupi baaada ya kuzinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi Chiku Gallawa (katikati) waliokaa mbele. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale,Modewjiblog

[DODOMA] Mkutano wa 32 wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (Tanzania Public Health Association-TPHA) umezinduliwa rasmi leo  Novemba 30.2015 mjini hapa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Chiku Gallawa...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ahutubia mkutano Mkuu wa 6 wa ZANU PF Harare -Zimbabwe

KATIBU Mkuu wa CCm Ndg. Abdulrahaman Kinana , amekipongeza Chama Cha ZANU PF Cha Zimbabwe kwa kusimama imara licha ya Changamoto mbalimbali zinazoikabili Zimbambwe ikiwemo vikwazo vya kiuchumi ambavyo vimewekwa dhidi ya nchi hiyo.

Amewataka wana ZANU PF kuendelea kuunga mkono chama chao na kuongeza mapambano dhidi ya maadui wote wanaotaka kurudisha nyuma jitihada za kupigania maslahi ya nchi yao.

Akisoma salamu za mshikamano za Chama Cha Mapinduzi kwenye mkutano Mkuu wa ZANU PF...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya: Wajumbe wa ODM wazua vurugu

Vurugu zimezuka katika uchaguzi wa chama kikuu cha upinzani cha ODM nchini Kenya kufuatia madai ya udanganyifu katika uchaguzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema waige ODM kukabili changamoto za ndani

Nimekuwa nikifuatilia mgogoro wa Chadema katika vyombo mbalimbali vya habari na katika mitandao ya kijamii, naona ni mipasho tu, hauna tija katika kuleta demokrasia nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani