Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema waige ODM kukabili changamoto za ndani

Nimekuwa nikifuatilia mgogoro wa Chadema katika vyombo mbalimbali vya habari na katika mitandao ya kijamii, naona ni mipasho tu, hauna tija katika kuleta demokrasia nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tibaijuka asisitiza ushirikiano duniani kukabili changamoto mbalimbali

IMG_3160

Baadhi ya wakuu wa mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa nchini wakiwapokea wageni waalikwa kwenye hafla mchapalo ya kusheherekea miaka 69 ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar.

Na Mwandishi wetu

Tanzania imetaka jumuiya za kimataifa na washirika wa maendeleo kuhakikisha wanashirikiana na Umoja wa Mataifa kuhakikisha kwamba madhumuni ya kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa (UN)  yanafikiwa.

Umoja wa Mataifa ulianzishwa miaka 69 iliyopita kuhakikisha amani, maendeleo na...

 

10 years ago

GPL

TIBAIJUKA ASISITIZA USHIRIKIANO DUNIANI KUKABILI CHANGAMOTO MBALIMBALI‏

Baadhi ya wakuu wa mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa nchini wakiwapokea wageni waalikwa kwenye hafla mchapalo ya kusheherekea miaka 69 ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar. Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) akiteta jambo na Balozi wa Ujerumani… ...

 

10 years ago

Michuzi

PROF.TIBAIJUKA ASISITIZA USHIRIKIANO DUNIANI KUKABILI CHANGAMOTO MBALIMBALI

DSC_0060Mgeni rasmi Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akisoma risala yake kwenye hafla hiyo ambapo alitoa pongezi kwa Umoja wa Mataifa kwa niaba ya Serikali na kuahidi kuwa Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana bega kwa bega na Umoja huo kuhakikisha malengo ya milenia yanafikiwa kwa asilimia mia moja.DSC_0062Profesa Tibaijuka na Bw. Rodriguez wakijiandaa kufanya "cheers" ya kuutakia kheri Umoja huo.DSC_0036Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi...

 

10 years ago

Habarileo

Changamoto za wakaguzi wa ndani zatajwa

BAADHI ya Wakaguzi wa Ndani wa Hesabu za Serikali wamekuwa wakishindwa kufanya kazi zao kwenye utaratibu mzuri kutokana na wengi wao kutokuwa na ujuzi wa taratibu hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Changamoto, mafanikio ya Rooney ndani ya Man United

Wiki mbili zilizopita mshambuliaji na nahodha wa Manchester United, England, Wayne Rooney alitimiza miaka kumi ya maisha akiwa Old Trafford. Ni miaka yenye mafanikio, changamoto nyingi kwake kama mwanamichezo.

 

10 years ago

Mwananchi

TMA imeonyesha njia, wengine waige

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ni mojawapo ya wakala za Serikali iliyoko chini ya Wizara ya Uchukuzi ambayo kwa siku za karibuni imejiainisha kwa utendaji mzuri ambao hakuna siri kwamba unafaa kuigwa.

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI ALIAGIZA JIJI LA DODOMA KUMALIZA CHANGAMOTO YA TAKATAKA NDANI YA SAA 72


Charles James, Globu ya Jamii

KATIKA kuepukana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa Kipindupindu, Jiji la Dodoma limeagizwa kuchukua hatua za haraka kwa kumaliza changamoto ya uchafu ambayo imekua ikilalamikiwa na wananchi wake.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi leo wakati alipofanya ziara ya kukagua usafi wa mazingira katika mitaa na masoko mbalimbali ya jiji hilo.

Katika ziara yake hiyo, DC Katambi amebaini uwepo wa takataka nyingi kwenye mitaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkutano Mkuu wa ODM wavunjika

Mkutano Mkuu wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM umevunjika baada ya kutokea vurugu baina ya pande mbili zilizokuwa zikitofautiana ndani ya chama hicho.

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA YAAMUA KUZUIA WABUNGE WAKE KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE LA BAJETI,KUKAA KARANTINI KWA SIKU 14 KUKABILI CORONA

 Mwandishi Wetu, Michuzi TV

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA)kimewataka Wabung wake wote kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti pamoja na kuhudhuria vikao vya  Kamati za Bunge.

Pia Chama hicho kimewataka wabunge wake kujiweka karantini kwa muda usiopungua siku14 kama hatua ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambayo ameitoa leo Mei 1,2020  kwa vyombo vya habari amesema ni wakati wa kila mmoja wao kuchukua hatua za kijikinga na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani