Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tibaijuka asisitiza ushirikiano duniani kukabili changamoto mbalimbali

IMG_3160

Baadhi ya wakuu wa mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa nchini wakiwapokea wageni waalikwa kwenye hafla mchapalo ya kusheherekea miaka 69 ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar.

Na Mwandishi wetu

Tanzania imetaka jumuiya za kimataifa na washirika wa maendeleo kuhakikisha wanashirikiana na Umoja wa Mataifa kuhakikisha kwamba madhumuni ya kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa (UN)  yanafikiwa.

Umoja wa Mataifa ulianzishwa miaka 69 iliyopita kuhakikisha amani, maendeleo na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TIBAIJUKA ASISITIZA USHIRIKIANO DUNIANI KUKABILI CHANGAMOTO MBALIMBALI‏

Baadhi ya wakuu wa mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa nchini wakiwapokea wageni waalikwa kwenye hafla mchapalo ya kusheherekea miaka 69 ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar. Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) akiteta jambo na Balozi wa Ujerumani… ...

 

10 years ago

Michuzi

PROF.TIBAIJUKA ASISITIZA USHIRIKIANO DUNIANI KUKABILI CHANGAMOTO MBALIMBALI

DSC_0060Mgeni rasmi Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akisoma risala yake kwenye hafla hiyo ambapo alitoa pongezi kwa Umoja wa Mataifa kwa niaba ya Serikali na kuahidi kuwa Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana bega kwa bega na Umoja huo kuhakikisha malengo ya milenia yanafikiwa kwa asilimia mia moja.DSC_0062Profesa Tibaijuka na Bw. Rodriguez wakijiandaa kufanya "cheers" ya kuutakia kheri Umoja huo.DSC_0036Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi...

 

10 years ago

Habarileo

JK asisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kikanda

Rais Jakaya Kikwete.TANZANIA inaunga mkono kwa dhati ushirikiano wa kikanda na ni muumini mkubwa wa Umoja wa Afrika na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

 

10 years ago

Habarileo

Kiongozi wa Mabohora asisitiza ushirikiano

KIONGOZI Mkuu wa Mabohora Duniani, Dai-al-mutlaq Syedna Aaliqadar Mufaddal Saifuddin ameahidi kuimarisha uhusiano na Tanzania kwa kuchangia ukuaji na maendeleo ya uchumi.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Sitta asisitiza ushirikiano mahala pa kazi

 Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta (aliyesimama) akifungua Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka na kulia ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo Bwana Hassan Mabula. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akimshukuru Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta mara baada ya kufungua rasmi mkutano wa wafanyakazi wa wizara hiyo na taasisi zilizo chini yaka. Waziri wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yataka ushirikiano kukabili wahalifu

 Jeshi la Polisi nchini limeiangukia jamii kuomba ushirikiano wa karibu kutoka kwa wananchi katika kuibua vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kujitokeza nchini ikiwamo milipuko ya mabomu.

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aomba ushirikiano wa kimataifa kukabili ujangili

GU9A8625

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ufunguzi wa mkutano mkubwa wa kudhibiti ujangili na hifadhi endelevu ya wanyamapori uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog)

Na Mwandishi Wetu

RAIS Jakaya Kikwete ameitaka jumuiya ya kimataifa kushirikiana na Tanzania katika kukabiliana na majangili...

 

11 years ago

Habarileo

Waombwa ushirikiano kukabili malaria majumbani

KITENGO cha kupambana na malaria Zanzibar kimewataka wananchi kutoa ushirikiano mkubwa katika kufanikisha kazi ya kupiga dawa majumbani itakayofanyika wiki ijayo katika shehia 68.

 

11 years ago

Habarileo

JK ahimiza ushirikiano kukabili tabia nchi

RAIS Jakaya Kikwete amesema kutokana na kiwango kilichofikiwa cha Tabia Nchi hivi sasa, nchi za Afrika hazina budi kuungana na kuchukua hatua za kupunguza madhara ya mabadiliko ya hali ya hewa kwa pamoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani