Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpendazoe anadi mikakati yake

Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema, Fred Mpendazoe amesema akichaguliwa anahitaji kuhakikisha chama hicho kinaimarika kuanzia ngazi ya msingi ili kupata wanachama hai wanaoweza kukiinua katika uchaguzi mkuu ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete anadi mafanikio ya serikali yake India

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali yake kwa muda wa miaka 10 iliyowatumikia watanzania imefanikiwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

 

11 years ago

Michuzi

TFF YAELEZEA MIKAKATI YAKE BUNGENI

Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ukiongozwa na Jamal Malinzi Juni 21 mwaka huu mjini Dodoma umekutana na Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Maendeleo ya Jamii chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Said Mtanda (Mbunge wa Mchunga).
Katika kikao hicho TFF ilielezea mikakati yake ya maendeleo ya mpira wa miguu pamoja na maandalizi ya timu ya Taifa kwa ajili ya mchezo wake dhidi ya Msumbiji.
TFF iliiahidi Kamati ya Bunge kuwa itaendelea kuwa inafanya shughuli zake kwa karibu na...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu mkuu mpya wa Yanga atangaza mikakati yake ya kuhakikisha Klabu inajiendesha kiuchumi

Katibu mpya wa Yanga Dk. Jonas Tiboroha, ametangaza mikakati yake ya kuhakikisha Yanga inajiendesha kiuchumi ikiwa ni pamoja na kupitia upya mikataba yote ya wadhamini.
Akizungumza Makao Makuu ya Klabu hiyo leo, Tiboraha alisema kuwa Yanga ni klabu kubwa hiyo ni wakati wa kujiendesha yenyewe badala ya kutegemea mtu binafsi na kwamba haiwezi kuwa na mikataba ambayo haikithi maslahi ya klabu hiyo.
"Yanga ni bidhaa inayojiunza yenyewe uwezi kuingia mkataba wake sawa na Stand United, haiwezekani...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mpendazoe ajinadi CHADEMA

ALIYEKUWA mgombea wa ubunge Segerea, Fred Mpendazoe, amejinadi kuhakikisha anaimarisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikiwa atashinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho. Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Mpendazoe ataka kumrithi Arfi Chadema

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chadema, Fred Mpendazoe amejitokeza kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho.

 

10 years ago

Dewji Blog

Fred Mpendazoe kumrithi Arfi Umakamu Chadema Bar?

Mpendazoe 037[2]

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe.

Na Mwandishi wetu

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe amejitokeza kuwania nafasi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho.

Mpendazoe ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Kishapu kupitia CCM kabla ya kujiuzulu wadhifa huo na kujiunga na Chadema  ametangaza msimamo wake akisema kuwa atasimamia ajenda...

 

11 years ago

GPL

PENNY ANADI KITOVU CHAKE

MTANGAZAJI wa DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amewashtua mashabiki wake baada ya kutupia picha kwenye mtandao wa Instagram ikionesha sehemu kubwa ya tumbo lake likiwa wazi. Mtangazaji wa DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’. Akizungumza na mwandishi wetu mara baada ya picha hiyo kuzagaa mitandaoni, Penny alisema ameitupia picha hiyo kuonesha alivyokuwa mazoezini akiwa amechoka na kujilaza hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani