Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete anadi mafanikio ya serikali yake India

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali yake kwa muda wa miaka 10 iliyowatumikia watanzania imefanikiwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mpendazoe anadi mikakati yake

Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema, Fred Mpendazoe amesema akichaguliwa anahitaji kuhakikisha chama hicho kinaimarika kuanzia ngazi ya msingi ili kupata wanachama hai wanaoweza kukiinua katika uchaguzi mkuu ujao.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AKIWA NDANI YA IKULU KUONYESHA MAFANIKIO YAKE KWA MH. RAIS DKT KIKWETE

Thank you so much Mr president @jmkikwete .... daima nitaendelea kujituma na kuhakikisha naitumikia vyema nchi yangu #StateHouse #Earliertoday Haya ni maneno yake mwenyewe akitiririka. Diamond na kijana anaejituma na mwenye mafanikio kupitia music wake na kwa sasa ametokea kuwa balozi wa Tanzania popote pale jina lake lipo juu. Uwezi kuitaja Tanzania bila Diamond.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATANGAZA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA KUMI YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara yake katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne. Chikawe alisema kupitia taasisi zake yakiwemo Majeshi ya Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Idara ya Wakimbizi pamoja na Idara zingine zilizoko chini ya wizara hiyo, imepata mafanikio makubwa hususani katika jukumu la msingi la ulinzi na usalama wa nchi jambo ambalo...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAELEZEA MAFANIKIO YAKE NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA KIPINDI CHA MWAKA 2005-2015

 Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB), Mhandisi Steven Mlote. Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi Steven Mlote (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya bodi hiyo na serikali ya awamu ya nne kwa kipindi cha mwaka 2005-2015. Kulia ni Msajili Msaidizi wa bodi hiyo, Mhandisi Benedict Mukama na na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Ndani wa ERB, Vicentus Vedasto.
Mkutano na...

 

9 years ago

Michuzi

mama salma kikwete anadi wagombea ubunge na udiwani kata ya ubungo jijini dar es salaam

 Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo Rajabu Hassani  Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na kuonesha Irani ya uchaguzi wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo...

 

9 years ago

Bongo5

Aslay adai asilimia 60 ya mafanikio yake yametokana na marehemu mama yake

Muibaji wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihaka aliyefiwa na mama yake mzazi hivi karibuni, amesema mafaniko aliyopata katika muziki wake yametokana na mama yake. Aslay ameiambia Bongo5 kuwa mama yake ndio alikuwa akimsihi na kumtia moyo katika muziki wake. “Wakati naanza muziki kabisa nafikiri mama yangu ndio alikuwa ani-support kwa kusema ‘mwanangu nenda huku […]

 

9 years ago

Michuzi

Mshindi wa Jaymillions na mafanikio yake: Ajenga nyumba ya kisasa na kuishi na familia yake goba, kufungua biashara

Mmoja ya washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa inaendeshwa na Vodacom Tanzania iliyomalizika mwezi Aprili mwaka huu Irene Mrema, amesema tangu aibuke na ushindi amepata mafanikio makubwa mojawapo ikiwa ni kuweza kujenga nyumba ya kuishi na familia yake maeneo ya Goba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. “Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunikwamua kimaisha kupitia Jaymillion ya Vodacom kwa kuwa imeleta mafanikio makubwa katika maisha yangu na...

 

10 years ago

Michuzi

mapacha kutoka Tanzania walioungana watenganishwa kwa mafanikio nchini India

Picture1-swahiliHospitali ya Apollo iliyoko nchini India imefanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike wa Tanzania Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumboni  katika upasuaji uliofanyika tarehe 17 Novemba 2014 nchini humo. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na upasuaji uliofanyika na hospitali Apollo ulikuwa wenye mafanikio na wa aina yake.Mapacha Abriana na Adriana awali ya upasuaji huo walikuwa wameunganika kuanzia chini ya kifua na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani