Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpendazoe ajinadi CHADEMA

ALIYEKUWA mgombea wa ubunge Segerea, Fred Mpendazoe, amejinadi kuhakikisha anaimarisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikiwa atashinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho. Akizungumza jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mpendazoe ataka kumrithi Arfi Chadema

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chadema, Fred Mpendazoe amejitokeza kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho.

 

10 years ago

Dewji Blog

Fred Mpendazoe kumrithi Arfi Umakamu Chadema Bar?

Mpendazoe 037[2]

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe.

Na Mwandishi wetu

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe amejitokeza kuwania nafasi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho.

Mpendazoe ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Kishapu kupitia CCM kabla ya kujiuzulu wadhifa huo na kujiunga na Chadema  ametangaza msimamo wake akisema kuwa atasimamia ajenda...

 

10 years ago

Mwananchi

Mpendazoe anadi mikakati yake

Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema, Fred Mpendazoe amesema akichaguliwa anahitaji kuhakikisha chama hicho kinaimarika kuanzia ngazi ya msingi ili kupata wanachama hai wanaoweza kukiinua katika uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

GPL

NYUSI AJINADI KWA WANAMSUMBIJI WANAOISHI ZANZIBAR

Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO Mh.Filipe Nyusi akipokea zawadi kutoka kwa Jumuiya ya watu wa Msumbiji wanaoishi Zanzibar.
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO Mh.Filipe Nyusi akizungumza na Wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania ambapo alitumia fursa hiyo kuwaomba wampigie kura kwani amekuja na mikakati mizuri ya kuboresha uchumi ambapo amedhamiria kuiondoa Msumbiji kwenye orodha ya...

 

11 years ago

Michuzi

NYUSI AJINADI KWA WANAMSUMBIJI WANAISHI ZANZIBAR

 Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO Mh.Filipe Nyusi akipokea zawadi kutoka kwa Jumuiya ya watu wa Msumbiji wanaoishi Zanzibar.Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO Mh.Filipe Nyusi akizungumza na Wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania ambapo alitumia fursa hiyo kuwaomba wampigie kura kwani amekuja na mikakati mizuri ya kuboresha uchumi ambapo amedhamiria kuiondoa Msumbiji kwenye orodha ya nchi masikini,pia aliahidi kuwawezesha wakina Mama wa Msumbiji.

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA WA AFP CHALINZE RAMADHANI MGAYA AJINADI KWA WANANCHI

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgaya akinadiwa na  Mkurugenzi wa habari na uenezi wa AFP kitaifa, Mwalami Uwesu wakati wa kampeni za mgombea huyo katika ebneo la sokoni Chalinze mjini Kata ya Bwilingu Chalinze.  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgayaakijinadi kwa wananchi wa jimbo la Chalinze wakati wa kampeni zake za kuwania Ubunge jimboni humo.

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Sambwee Shitambala ajinadi

Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya kwa tiketi ya CCM Mjini Sambwee Shitambala akishangiliwa na baadhi ya WanaCCM  Kata ya Maanga Jijini Mbeya alipokuwa katika kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini. Meneja kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi  ndugu Charles Mwakipesile akizungumza jambo katika mkutano wa adhara wa kampeni Ulio fanyika katika Kata ya Maanga Jijini Mbeya.Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm...

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI DMV: MGOMBEA MAKAMU WA RAIS BI SALIMA MOSHI AJINADI

Wana DMV  mimi Salima Moshi ndiye kiongozi  wenu imara nisiyeyumba.  Nitakuwa pamoja nanyi wakati wote kwenye shida na raha na kwenye dhoruba na shwari na kwenye matatizo na mafanikio SITAJITOA na kuwaacha njia panda.
Kwa heshima na taadhima naomba kura zenu mimi SALIMA MOSHI mgombea wa nafasi ya makamu wa Rais DMV. Kujua sera zangu BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MUSTAFA PANJU AJINADI KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA ASEMA AKIPATA UBUNGE HAWATAJUTIA KAMWE

SAM_3941Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju ambaye ni mmoja wa wagombea wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM akiongea katika mkutano wa hadhara katika kata mpya ya Olmoti jana ambapo wagombea 12 walipata fursa ya kujitambulisha kwa wananchi na kunadi sera zao, Mustapha panju amesema kuwa kilicho msukuma kugombea nafasi hiyo ni kuakikisha wananchi wa jimbo la arusha wanapata ridhaa ya kuwa na maendeleo ya hali ya juu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani