Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPENZI WA MBALI UKISEMA KATULIA, HAKUSALITI, UNAJIPA MOYO TU!

Mchezo wa wapenzi kusalitiana umeshamiri sana kwenye jamii yetu. Ni kitu kinachouma sana lakini cha kushangaza imefika mahali watu wanaona ni cha kawaida kwa kuwa ni vigumu kumzuia mtu asikusaliti akiwa ameamua kufanya hivyo. Kamchezo haka kapo kwa jinsi zote lakini leo niwazungumzie wasichana ambao baadhi wamezidisha na kuwaogopesha wanaume wengi kujiingiza kwenye mapenzi. Tabia ya msichana kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja hasa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MPENZI YUKO MBALI? SHEREHEKEA NAYE SIKUKUU KWA STAILI HII!

Leo nataka kuzungumzia namna unavyoweza kusherehekea Sikukuu ya Idd wakati mpenzi wako akiwa mbali na wewe. Nafanya hivi nikiamini wapo ambao wapenzi wao wako mbali na kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao hawawezi kujumuika nao. Najua namna ambavyo sikukuu inaweza kuwa mbaya kwa kiasi f’lani kwa kumkosa uliyetokea kumpenda lakini kwa kuwa imetokea hivyo, chukulia ni hali ya kawaida ila kuna mambo kadhaa ambayo...

 

9 years ago

Bongo5

Naj: Ilihitaji moyo mgumu kuwa mpenzi wa Mr Blue (Audio)

12357741_121588221546710_530112732_n

Naj alihitaji kuwa na moyo wa chuma kuweza kuishi kama mpenzi wake wa zamani, Mr Blue.

12357741_121588221546710_530112732_n

Mrembo huyo anadai wakati walipokuwa na uhusiano, Mr Blue alikuwa akisumbuliwa na wasichana usiku na mchana.

“Kama hujiamini unaweza ukaumia sana,” alisema.

“Kwangu mimi zile nilikuwa nazichukulia tu kama kawaida. I was just thinking kwasababu anazipokea [simu] pale mbele yangu, maybe alikuwa anazichagua za kupokea. I was very young,” alikumbushia.

Sikiliza kipindi chote hapo chini.

Jiunge na...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi (kulia) akizungumza , Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi 12, 2014. Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho akiongozwa kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 12, 2014 bada ya kuahirisha Bunge hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LATOA UFAFANUZI JUU YA TUHUMA MBALI MBALI LINAZOTUPIWA

Hivi karibuni kumekuwa na tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii kuhusiana na kunyanyaswa, kutendewa vitendo visivyo vya kiungwana na kuteswa gerezani kwa Watuhumiwa wa Makosa ya Ugaidi kinyume na taratibu za Uendeshaji wa Magereza.
Kufuatia tuhuma hizo, Jeshi la Magereza Tanzania Bara limefanya uchunguzi kwa kufanya mazungumzo na Watuhumiwa wenyewe na wamekanusha tuhuma hizo dhidi ya Jeshi la Magereza. Ukweli ni kuwa taarifa hizo...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA KAMATI MBALI MBALI ZA BUNGE WAENDELEA NA VIKAO MJINI DODOMA

Mjumbe wa Kamati namba kumi na mbili ya Bunge Maalum la Katiba Goodluck Ole - Medeye akichangia jana mjini Dodoma wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta alipoitembelea Kamati hiyo kujionea kazi inayoendelea ya uchambuzi wa sura ya kwanza na Sita katika Rasimu ya Katiba mpya. Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba, DKT Sira Ubwa Mamboya(kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta(kulia) alipoitembelea Kamati...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akutana na viongozi mbali mbali ikulu Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akifuatana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014.…

 

10 years ago

Michuzi

taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni na simu tv


Kwa taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani