MPIGA KURA AKIWA NA KIKATIO CHAKE BAADA YA KUKITENDEA KHAKI KUMCHAGUA KIONGOZI MWADIRIFU NA MCHA KAZI
BAKARY NYAGALY WA BUNJU A DAR-ES-SALAAM
TAYAAAARI NIMESHAFANYA YANGU... NIMEMNYOOSHA MTU MAPEMA TU HAINA KUREMBA...... MWENYEZ MUNGU IBARIKI NCHI YETU PAMOJA NA WATU WAKE, INSHAALLAH KWA BARAKA ZAKO NA KUTUTAKIA MEMA WAJA WAKO (WATANZANIA) ATASHINDA NILIYEMCHAGUA AMBAE NDO NINA IMANI NDIO CHAGUO SAHIHI KWA MUSTAKHBALI MWEMA WA MAENDELEO YA TAIFA LETU...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
Mfahamu mpiga picha maarufu Albert Manifester anayetumia kipaji chake kusaidia jamii
Albert Manifeter katika pozi..
Na Andrew Chale, modewjiblog
Duniani, kila mwanadamu amejariwa uwezo na kipawa cha kufanya kitu ambacho mwingine hawezi kukifanya kwa upande wake, iwe kwa kufundishwa ama kuzaliwa nacho, Hii pia tunaweza kuona kwa Mpiga picha maarufu nchini, Albert Manifester, ambaye amekuwa na uwezo mkubwa wa kupiga picha kiasi cha kujenga jina lake katika ngazi mbalimbali ikiwemo ndani na nje ya nchi.
Hata hivyo, kupitia kipaji chake hicho, albert Manifester, Mei 24 mwaka...
5 years ago
Michuzi
WANA CCM,WANANCHI WAJITAFAKARI KUMCHAGUA KIONGOZI ATAKAYEWAFAA KUWAONGOZA KIPINDI KIJACHO-BALOZI SEIF ALI IDDI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati muda wa kuelekea katika uchaguzi Mkuu unakaribia Wana CCM na Wananchi wana fursa nzuri ya kutafakari Kiongozi atakayefaa kuwaongoza katika kipindi kijacho cha Miaka Mitano.
Alisema Viongozi wanaofaa kushika hatamu ya kuwaongoza vyema ni wale wenye uwezo kamili wa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM inayokwenda kisasa katika mazingira ya Karne ya sasa ya Sayansi na Teknolojia Ulimwenguni.
Balozi Seif Ali Iddi alitoa Kauli...
10 years ago
GPL
RAIS NKURUNZIZA APIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE
10 years ago
GPL
WANANCHI ZAMBIA LEO WAPIGA KURA KUMCHAGUA RAIS
11 years ago
GPL
WANANCHI AFGHANISTAN WAPIGA KURA KUMCHAGUA RAIS WAO
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Jicho kumtambua mpiga kura
TUME ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) itatumia vifaa vya kisasa vya kumtambua mpiga kura aliyepoteza kitambulisho kwa kutumia mboni ya jicho lake, wakati wa uchaguzi mkuu ujao. Hayo yameelezwa na...
10 years ago
Habarileo17 Oct
Wahimiza elimu ya mpiga kura
VIONGOZI wa vyama vya siasa , Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) , Jeshi la Polisi na serikali vimetakiwa kutoa elimu ya mpiga kura kuongeza uelewa kwa wananchi kuimarisha amani, maelewano, utulivu wa kisiasa na uwajibikaji siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 25.
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Mpiga kura wa kwanza Kinondoni Tanzania
10 years ago
GPL
KILA MMOJA AFAHAMU HAKI NA WAJIBU WA MPIGA KURA