Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS NKURUNZIZA APIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE

Rais Pierre Nkurunziza akiwasili kwenye kituo cha kupiga kura kwa usafiri wa baiskeli. Nkurunziza akiwa kwenye foleni kwenda kupiga kura yake ya kumchagua mbunge. Zaidi, soma hapa:==>> …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE, MAMA SALMA WAUNGANA NA WANACHALINZE KUPIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE WAO LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati Msoga leo.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye chumba cha kupigia kura wakati wa kupiga kura za kumchagua Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze leo.… ...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI AFGHANISTAN WAPIGA KURA KUMCHAGUA RAIS WAO

Mwananchi wa Afghanistan akipiga kura ya kumchagua rais mpya wa nchi hiyo. Rais Hamid Karzai akipiga kura yake mjini Kabul. Mpiga kura…

 

10 years ago

GPL

WANANCHI ZAMBIA LEO WAPIGA KURA KUMCHAGUA RAIS

Wananchi wa Zambia wakiendelea kupiga kura siku ya leo. Wananchi milioni tano na laki mbili wa Zambia waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanashiriki katika uchaguzi wa kumchagua Rais atakayeziba pengo la Michael Sata aliyefariki dunia Oktoba mwaka jana. Mgombea wa chama tawala cha Patriotic Front (PF) Edgar Lungu mwenye umri wa miaka 58 na ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi kwa sasa ana matumaini ya kupata ushindi katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Rais Kikwete apiga kura kijijini kwake

jkNA PATRICIA KIMELEMETA, CHALINZE

RAIS Jakaya Kikwete jana alipiga kura kijijini kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Rais Kikwete ambaye anamaliza muda wake wa uongozi wa miaka 10 tangu alipoingia madarakani Novemba 2005, aliwasili kijijini hapo katika Kituo cha Zahanati ya Msoga, jana saa 12:25 na kupanga foleni ya kupiga kura kama ilivyo kwa wananchi wengine.

Baada ya kumaliza kupiga kura, alisema amejitokeza kutumia haki yake ya msingi ya kuwapigia kura viongozi wanaotarajiwa...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apiga kura Kijijini Kwake Msoga.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya kupiga kura leo katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo. Ofisa katika kitu cha kupiga kura akimkabidhi Rais Kikwete karatasi za kupiga kura.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo.

MKE WA...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI JIMBO LA CHALINZE KUMCHAGUA MBUNGE WAO LEO

BAADA ya kampeni zilizodumu kwa mwezi mmoja, hatimaye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani unatarajiwa kufanyika leo ili kumpata mrithi wa Said Bwanamdogo aliyefariki dunia Januari 22 mwaka huu kutokana na maradhi. Katika kipindi chote cha kampeni, vyama vitano vilichuana kumwaga sera na usiku na mchana katika Kata 15 za jimbo hilo, kila kimoja kikiamini ndicho kitaibuka mshindi na hatimaye...

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi ashukuru wananchi kwa kumchagua


Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Ndugu Cosato Chumi akiwa amebebwa na wananchi wa Kijiji cha Isalavanu wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za wingi.Ndugu Chumi ametembelea jumla ya Vijiji 15  kwa muda wa siku mbili katika kata za Bumilayinga, Sao Hill, Isalavanu na Rungemba. Baada ya kuapishwa ataendelea katika kata zilizosalia ambazo ziko katikati ya Mji wa Mafinga. Mhe. Chumi  amesema yeye sasa ni mbunge wa wote waliompa kura na hata ambao hawakumpa kura,...

 

9 years ago

Vijimambo

MBUNGE MTEULE WA JIMBO LA ILEJE MKOANI SONGWE, MH JANET MBENE AWASHURU WANANCHI KWA KUMCHAGUA

MBUNGE mteule katika Jimbo la Ileje mkoani Songwe ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene (CCM) amewashukuru wananchi wa jimbo hilo kwa kumpa kura za kishindo, madiwani na Dkt. Jonh Magufuli anayewania urais.Pia alisema, kilimo nacho atakipa kipaumbele hususani cha alizeti, kunde, choroko, dengu, mbaazi, soya , karanga zikiwemo njugu mawe kwa wingi kama mazao ya biashara.
 
Akizungumza na wakazi wa Ileje, Mbene alisema ushindi wa kura 27,583 aliopewa na wana Ileje dhidi...

 

9 years ago

Vijimambo

MPIGA KURA AKIWA NA KIKATIO CHAKE BAADA YA KUKITENDEA KHAKI KUMCHAGUA KIONGOZI MWADIRIFU NA MCHA KAZI

BAKARY NYAGALY WA BUNJU A DAR-ES-SALAAM
TAYAAAARI NIMESHAFANYA YANGU... NIMEMNYOOSHA MTU MAPEMA TU HAINA KUREMBA...... MWENYEZ MUNGU IBARIKI NCHI YETU PAMOJA NA WATU WAKE,  INSHAALLAH KWA BARAKA ZAKO NA KUTUTAKIA MEMA WAJA WAKO (WATANZANIA)  ATASHINDA NILIYEMCHAGUA AMBAE NDO NINA IMANI NDIO CHAGUO SAHIHI KWA MUSTAKHBALI MWEMA WA MAENDELEO YA TAIFA LETU...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani