Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mr Blue aupiga kibuti ubahili, awekeza kwa mara ya kwanza kwenye video yake ‘Baki Nami’

blue

Mr Blue Kabayser ana video nyingi alizowahi kufanya lakini amekiri kuwa video mpya ‘Baki Nami’ ndio ya kwanza kuwekeza pesa yake mwenyewe.

blue

Blue amesema kuwa kazi zote zilizopita amekuwa akifanya kwa ‘kuunga unga’ na kusaidiwa na washikaji zake bila yeye kutoa chochote, kitu ambacho kilisababisha asiwe anapata kazi bora.

Ameongeza kuwa ‘Baki na Mimi’ ndiyo video iliyomsumbua kukamilisha visa vyote alivyoviimba, sehemu ya gharama ikiwa ni kukodisha limousine yenye gharama ya shilingi milioni...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Mr Blue – Baki na Mimi

blue-2

Msanii wa bongo fleva Mr Blue ameachia video mpya ya single yake inaitwa “Baki na mimi” Video imeongozwa na Kwetu Studios.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Global Publishers

9 years ago

Bongo5

Video: Avril asimulia kwa mara ya kwanza jinsi alivyoanguka kwenye swimming pool wakati akitumbuiza Dar

Kwa mara ya kwanza muimbaji wa Kenya, Avril amelizungumzia tukio lililotokea miaka miwili iliyopita jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akitumbuiza kwenye Pool Party iliyofanyika kwenye hoteli ya Regency Park, Mikocheni. Kwenye show hiyo ambayo rapper Prezzo pia alitumbuiza, Avril alijikuta akitumbukia kwenye bwawa la kuogelea lililokuwa mbele ya jukwaa. Bahati nzuri mrembo huyo anajua […]

 

9 years ago

MillardAyo

Mabibi na Mabwana Mr Blue katuletea hii video mpya ‘Baki na Mimi’ hautajutia dakika zako..

Jina lake ni Herry Samir lakini kwenye hit songs ni jina la Mr Blue ndio lipo, sasa time hii ametusogezea video ya single yake mpya inaitwa ‘Baki na mimi’ na video ni production ya Kwetu Studios, ukishaitazama sio mbaya ukiacha comment yako akipita Blue mwenyewe aione Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Mabibi na Mabwana Mr Blue katuletea hii video mpya ‘Baki na Mimi’ hautajutia dakika zako.. appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video)

Dec 25 2015 Msanii Harmonize kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia nyingine katika maisha yake ya muziki, ambapo kwa mara ya kwanza alipanda kwenye stage toka aachie hit song ya ‘Aiyola’ Shangwe lilifanyika Tanga, Tanzania. Licha ya yote, kuna mambo yalitokea na hakuyapenda. Unaweza kubonyeza Play hapa chini kuitazama video yote.  Unataka kutumiwa MSG […]

The post Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kwa Mara ya Kwanza Wastara Aonyesha Miguu Yake na Kuandika Mazito

Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kama unavyoiona pic
Huyo ndio wastara nilivyo hakuna kilichopungua zaidi ya hicho unachokiona
Kuwa mlemavu ni kitu kingine tofauti ukiwa mzima hivyo kusikia maumivu na kuumwa mguu ni kitu cha kawaida
Sasa nipo nairobi kimatibabu na tatizo ni operetion ya kwanza nilikosewa ndio sababu ya maumivu ya mara kwa mara madaktari wameshajua nini cha...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond

Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City. Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani