Mr Blue: Young Killer ni bonge moja la rapper!
Rapper Mr Blue amemmwagia misifa msanii kutoka Mwanza, Young Killer Msodoki na kudai kuwa alikuwa haamini kama ni yeye ndiye anayetunga mistari ya nyimbo zake. Mr Blue Akizungumza na Bongo5 leo, Mr Blue amesema maneno anayotoa rapper huyo hayalingani na umri wake kwakuwa yanaonyesha ukomavu mkubwa. “Kiukweli huwaga siamini yeye ndio anatunga mistari anayoimba, dogo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi18 Feb
9 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
9 years ago
Bongo502 Nov
Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee
10 years ago
BBCSA rapper's killer freed on bail
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram
9 years ago
Bongo512 Sep
Music: Young Killer — Mtanzania
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Young Killer arudi shule
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ametimiza ndoto zake za kurudi shule ambapo sasa anasomea teknolojia ya mawasiliano (IT). Nyota huyo chipukizi ambaye amejizolea umaarufu kupitia...
11 years ago
GPLYOUNG KILLER NDANI YA GLOBAL TV ONLINE