MR. UWAZI AGAWA SUKARI KWA WASOMAJI WA ‘UWAZI MIZENGWE’ DAR
Msomaji wa Uwazi Mizengwe akipokea zawadi ya mfuko wa sukari eneo la stendi ya daladala ya Makumbusho, Kijitonyama. Mteja wa Uwazi Mizengwe (kushoto mwenye mkoba) kabla ya kununua gazeti katika meza ya muuza magazeti eneo la Mwenge.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWASOMAJI GAZETI LA UWAZI MIZENGWE DAR WAPEWA ZAWADI
Mr. Uwazi sambamba na Ofisa Masoko wa Global, Aziza Seif akijiandaa kumpatia zawadi msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe. Meneja Mkuu wa Global Publishers sambamba na Mr. Uwazi akiongea na muuzaji wa magazeti eneo la Kituo cha Stendi ya Daladala cha Lufungira-Mwenge.…
10 years ago
GPL'MR. UWAZI MIZENGWE’ AWATEMBELEA WASOMAJI WAKE DAR
Wasomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe wakipozi na Mr. Uwazi eneo la Jet Lumo, Dar. Mr. Uwazi akijibu maswali kutoka kwa Iddi Mussa wa eneo la Jet Lumo, Dar.…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/3.Mr_.Championi-akizidi-kugawa-zawadi-kwa-wasomaji-wake-waliokutwa-wakisoma-Gazeti-la-Uwazi-Mizengwe-eneo-la-Stendi-ya-Bagamoyo.-001.jpg)
MR. UWAZI AGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE BAGAMOYO
Mr.Uwazi alipotua stendi ya Bagamoyo kugawa zawadi kwa wasomaji wake. Msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe akipozi na Mr.Uwazi huku akisoma gazeti lake kabla ya upatiwa zawadi.…
9 years ago
GPLUWAZI MIZENGWE LAGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE KIBAHA
Baadhi ya wasomaji wa gazeti la Uwazi-Mizengwe, muda mfupi baada ya kununua gazeti hilo.
Mmoja wa wateja hao akichukua gazeti hilo mezani kwa muuzaji.
Msomaji akisoma kurasa za ndani za gazeti hilo.
Msomaji akiwa…
10 years ago
GPLMR. ‘UWAZI MIZENGWE’ AGAWA ZAWADI MKOANI PWANI
Mr. Uwazi akiwa na wakala wa magazeti ya Global Publishers wa Mkoani Pwani Adam Msangi (katikati) akipewa ufafanuzi kutoka kwa Ofisa Masoko wa Global, Aziza Seif (kulia) namna ya msomaji anavyoweza kujishindia  Sh.200,000/= kwa kununua gazeti lenye kuponi ndani yake.…
11 years ago
GPL‘MR UWAZI’ AGAWA ZAWADI SABA SABA KWA WASOMAJI
Mr. Uwazi akimkabidhi zawadi msomaji wa gazeti la Uwazi. Msomaji akinunua gazeti na kupiga picha na Mr. Uwazi…
11 years ago
GPLMR UWAZI AZIDI KUMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE DAR
Mr. Uwazi akitoa zawadi kwa mmoja wa wasomji wa Gazeti la Uwazi eneo la Bunju B, Dar. Mr. Uwazi akiendelea kumwaga zawadi kwa wadau mbalimbali wa Gazeti la Uwazi.…
10 years ago
GPLMR.UWAZI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR
Mkazi wa Mbezi Mwisho akipozi na Mr.Uwazi baada ya kurudishiwa pesa yake aliyonunulia gazeti. Mr.Uwazi akiongea na msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho huku akitoa maoni yake ya nini kifanyike ndani ya gazeti hilo ili liendelee kuwa bora.…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/1.8.jpg?width=650)
MR UWAZI AGAWA ZAWADI DAR
Mr Uwazi akimkabidhi zawadi msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe eneo la Kituo cha Daladala cha Kigogo Freshi-Chanika. Msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe akipozi na Mr Uwazi kabla ya kukabidhiwa zawadi yake eneo la Chanika Mwisho. Wasomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe sambamba na Gazeti la Ijumaa, wakiwa katika picha ya pamoja na Mr Uwazi katika Kituo cha Chanika.… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania