msaada kwenye tuta: Shairi
Naomba kama kuna mdau mwenye kumbukumbu na mashairi haya aendeleze beti hizi.
1. Karudi baba mmoja toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
Watoto wke wakaja ili kumtaka hali
Wakataka na kauli ili iwafae maishani
Akatamka mgonjwa ninaumwa kwelikweli
Hata kama nikichanjwa haitoki homa kali
Roho naona yachinjwa kifo kimenikabili
Kama mwataka kauli semeni niseme nini
Yakawatoka kinywani maneno yenye akili
Baba yetu wa thamani sisi tunataka mali
Urithi tunatamani mali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMSAADA KWENYE TUTA
10 years ago
Vijimambo05 Apr
MSAADA KWENYE TUTA TAFADHALI
Siku hiyo Bwana harusi mtarajiwa aliwahi kanisani kama kawaida akiwemo bi harusi mtarajiwa nae alifika kanisani kwa muda unaotakiwa lakini gari lililomleta lilitakiwa kufuata watu wengine kwa ajili ya na kuwaleta kanisani na kwa maana hiyo harusi ndoa ingeweza fungwishwa mpaka watu hao wafike.
Bi. harusi mtarajiwa aliambiwa aningie ndani kanisani lakini aende nyuma...
10 years ago
Michuzi13 Sep
SHAIRI: Ajali za barabarani
Ninalianza shairi, kwa majonzi ya dhahiri,Kwa kuwa tena si siri, ajali zimekithiri,Zaua kwa utitiri, hii sasa ni hatari,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Nianze na madereva, kisha nimvae Kova,Unapokua dereva, tunahisi umeiva,Si mambo ya kujilevya, na kuua kina Eva,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Umakini safarini, ndio nyenzo namba wani,Sheria barabarani, zifuate kwa makini,Sifa za vibarazani, hazina tija jamani!,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Bosi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MClIblmlZuiSZlwHE-JLPiRwOz8JG-29SBBJboLqKCbXIZlyFNhFezLatW7fPxRlHUKufnyPxZrtaiNr8rLnQDT/floydsrandjr.jpg?width=650)
BABA WA MAYWEATHER AMKEJELI PACQUIAO NA SHAIRI LA USHINDI
9 years ago
Habarileo07 Sep
Magufuli aombwa kujenga tuta mto Kilombero
MGOMBEA ubunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abubakari Asenga amemwomba mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli awajengee tuta pembeni ya mto Kilombero kuzuia mafuriko.
11 years ago
Michuzi26 Feb
MSAADA TUTANI: Ninataka Kujitoa Kwenye Klabu Ya Wasagaji Matajiri
Kwa ufupi mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26 . Ninaishi Dar Es salaam na kazi yangu ni mfanyabishara. Baada ya maisha kunipiga sana, niliamua kwenda kuomba ushauri kwa mdada mmoja ...
11 years ago
MichuziTANZANITE ONE WAKABIDHI MSAADA WA SHILINGI MILIONI 42 KWENYE SHULE YA MSINGI NEW VISION
10 years ago
GPLGLOBAL YATOA MSAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAKWAMA
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
JK ataka msaada ESRF kuondoa umaskini kwenye uchumi unaokua kwa kasi kubwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini , Alvaro Rodriguez nje ya ukumbi wa mikutano kabla ya mgeni rasmi kuwasili kwenye mkutano mkubwa wa tatu wa ESRF unaozungumzia ukuaji wa uchumi kwa kutumia fursa zilizopo na maendeleo yanayogusa jamii uliofanyika jana jijini Dar katika hoteli ya Hyatt Regency,...