MSAADA KWENYE TUTA TAFADHALI
Kuna siku nilihudhuria harusi moja kanisani na kitu kimoja kilinishangaza na kunifanya niwe na maswali mengi yasiyokua na majibu.
Siku hiyo Bwana harusi mtarajiwa aliwahi kanisani kama kawaida akiwemo bi harusi mtarajiwa nae alifika kanisani kwa muda unaotakiwa lakini gari lililomleta lilitakiwa kufuata watu wengine kwa ajili ya na kuwaleta kanisani na kwa maana hiyo harusi ndoa ingeweza fungwishwa mpaka watu hao wafike.
Bi. harusi mtarajiwa aliambiwa aningie ndani kanisani lakini aende nyuma...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMSAADA KWENYE TUTA
11 years ago
Michuzi24 Apr
msaada kwenye tuta: Shairi
1. Karudi baba mmoja toka safari ya mbali Kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili Watoto wke wakaja ili kumtaka hali Wakataka na kauli ili iwafae maishani
Akatamka mgonjwa ninaumwa kwelikweli Hata kama nikichanjwa haitoki homa kali Roho naona yachinjwa kifo kimenikabili Kama mwataka kauli semeni niseme nini
Yakawatoka kinywani maneno yenye akili Baba yetu wa thamani sisi tunataka mali Urithi tunatamani mali...
10 years ago
Vijimambo11 Feb
WADAU POLENI NA MAJUKUMU, MSAADA TAFADHALI
9 years ago
Habarileo07 Sep
Magufuli aombwa kujenga tuta mto Kilombero
MGOMBEA ubunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abubakari Asenga amemwomba mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli awajengee tuta pembeni ya mto Kilombero kuzuia mafuriko.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Oct
UJUMBE MUHIMU SAA 24 ZIJAZO TAFADHALI SAMBAZA
Kuna taarifa watu wanakamatwa wakikusanyika makundi tu , Polisi Zanzibar imeshatoa tamko kuwa Huruhusiwi mkusanyiko zaidi ya watu wa TATU au vyombo vyake vitachukua hatua .. Epuka mazungumzo ya siasa hasa kwenye madaladala ,maskani, sokoni ,madukani […]
The post UJUMBE MUHIMU SAA 24 ZIJAZO TAFADHALI SAMBAZA appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Michuzi26 Feb
MSAADA TUTANI: Ninataka Kujitoa Kwenye Klabu Ya Wasagaji Matajiri
Kwa ufupi mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26 . Ninaishi Dar Es salaam na kazi yangu ni mfanyabishara. Baada ya maisha kunipiga sana, niliamua kwenda kuomba ushauri kwa mdada mmoja ...
11 years ago
MichuziTANZANITE ONE WAKABIDHI MSAADA WA SHILINGI MILIONI 42 KWENYE SHULE YA MSINGI NEW VISION
10 years ago
GPLGLOBAL YATOA MSAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAKWAMA