Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJUMBE MUHIMU SAA 24 ZIJAZO TAFADHALI SAMBAZA

Kuna taarifa watu wanakamatwa wakikusanyika makundi tu , Polisi Zanzibar imeshatoa tamko kuwa Huruhusiwi mkusanyiko zaidi ya watu wa TATU au vyombo vyake vitachukua hatua .. Epuka mazungumzo ya siasa hasa kwenye madaladala ,maskani, sokoni ,madukani […]

The post UJUMBE MUHIMU SAA 24 ZIJAZO TAFADHALI SAMBAZA appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MUHIMU! SOMA NA SAMBAZA UJUMBE/IMPORTANT! PLEASE READ AND SPREAD THE WORD

TAHADHARI!!Kama unaendesha Gari mida ya Usiku, na ghafla ukaona Mayai (Eggs) yamerushwa na kupiga kwenye KiOO cha Gari yako cha mbele, tafadhari sana USISIMAME, Usiwashe WIPER na wala usimwage MAJI kwenye KIOO chako cha mbele, sababu Mayai na Maji hubadilika kuwa maziwa na kufanya kitendo hicho utazuia kabisa uwezo wako kuona MBELE kiasi cha kukulazimu kusimama na kusababisha KUVAMIWA na MAJAMBAZI. Na Majambazi wakishakuvamia sihitaji kukueleza nini kinatokeaga…. Mstue mwanzako ni moja ya...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

Saa 36 muhimu uteuzi wa Waziri Mkuu

Baada ya wabunge kumchagua Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuwa Spika wa Bunge la 11 jana, anayesubiriwa ni Waziri Mkuu mpya ambaye anatarajiwa kujulikana saa 36 zijazo.     

 

11 years ago

GPL

UJUMBE MUHIMU WA JOHN MNYIKA KWA WANACHALINZE

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika. KWA WANANCHI WA CHALINZE: SIKU YA KUFUNGA KAMPENI NA KUPIGA KURA
Leo Jumamosi 05 Aprili 2014 ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze na kesho Jumapili 06 Aprili 2014 ni siku ya…

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA MUHIMU: Semina ya wajumbe wa Bunge maalum imeahirishwa mpaka saa tisa mchana leo.

Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014 saa tisa alasiri. 
Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa alasiri badala ya saa nnne asubuhi.
Imetolewa na:  Katibu wa...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ibra — Sambaza Upendo (Serengeti Fiesta 2014)

Msanii chipukizi kutoka Iringa, Ibra amekuja na anthem yake ya Serengeti Fiesta 2014 ‘Sambaza Upendo’ na kama ukichukua muda kuusikiliza utakubaliana nasi kuwa Clouds FM na Serengeti Fiesta wanapaswa si tu kuanza kuutumia wimbo huu kwenye Fiesta mwaka huu bali pia kumchukua kabisa kuzunguka naye kwenye mikoa iliyosalia. Huu ni wimbo mkali wa R&B wenye […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema: Kupendeza ni Muhimu Ila Kuelimika ni Muhimu Zaidi

Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameandika hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha  hiyo hapo juu akiwa anapiga kitabu.

“Kupendeza ni muhimu ila kuelimika ni muhimu zaidi. Je, unajaribu kujifunza kitu kipya kila siku?” Wema alihoji na kuendelea “Elimu haina mwisho na mie binafsi najifunza mengi kwa kaka angu….
 Jitahidi kujiendeleza kimawazo na hautakwama ukikutana na vikwazo!”…..

Nadhani kila mmoja wetu atauzingatia ujumbe huu, hongera sana Wema.

Mzee wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MSAADA KWENYE TUTA TAFADHALI

Kuna siku nilihudhuria harusi moja kanisani na kitu kimoja kilinishangaza na kunifanya niwe na maswali mengi yasiyokua na majibu.
Siku hiyo Bwana harusi mtarajiwa aliwahi kanisani kama kawaida akiwemo bi harusi mtarajiwa nae alifika kanisani kwa muda unaotakiwa lakini gari lililomleta lilitakiwa kufuata watu wengine kwa ajili ya na kuwaleta kanisani na kwa maana hiyo harusi ndoa ingeweza fungwishwa mpaka watu hao wafike.
Bi. harusi mtarajiwa aliambiwa aningie ndani kanisani lakini aende nyuma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani