Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Ibra — Sambaza Upendo (Serengeti Fiesta 2014)

Msanii chipukizi kutoka Iringa, Ibra amekuja na anthem yake ya Serengeti Fiesta 2014 ‘Sambaza Upendo’ na kama ukichukua muda kuusikiliza utakubaliana nasi kuwa Clouds FM na Serengeti Fiesta wanapaswa si tu kuanza kuutumia wimbo huu kwenye Fiesta mwaka huu bali pia kumchukua kabisa kuzunguka naye kwenye mikoa iliyosalia. Huu ni wimbo mkali wa R&B wenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA 2014 LASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA KWA WAKAZI WA MUSOMA.

Wasaniii walioshiriki tamasha la Fiesta 2014 wakiwa na mishumaa jukwaani wakisambaza upendo na kuwafariji wale wote waliopotelewa na ndugu zao,waliojeruhiwa katika ajali iliyotokea  hivi karibuni wilayani Butiama mkoani Mara,ambapo watu zaidi ya 40 walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
 Sehemu ya umati wa wakazi wa mji wa musoma wakiwa ndani ya uwanja wa Karume,wakati tamasha la Fiesta 2014,likiendelea huku shangwe za hapa na pale zikiwa zimetawala kila kona ya uwanja. Mmoja wa...

 

10 years ago

GPL

BACKSTAGE YA SERENGETI FIESTA 2014 DAR

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma 'Diamond' akifanya yake. Nasibu Abdul Juma 'Diamond' (katikati) akiwa na walinzi wake.…

 

10 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DODOMA

Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo.Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Msanii zao la Serengeti Super Nyota G-Lucky akifanya makamuzi ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma.Y-Tony akiwajibika kwenye tamasha la Serengeti Fiesta lililokuwa likifanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Chipukizi wa Bongo Fleva,...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DODOMA

Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo. Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.…

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DAR

Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na T.I usiku wa kuamkia leo Ledears Club.…

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA 2014 LILIVYOSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA MJI WA MOSHI MWISHONI MWA WIKI

 Mmoja wa mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 pichani akitazama kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la tamasha hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi. Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiimba kwa hisia jukwaani. Mashabikii wakishangilia jambo wakati wasanii mbalimbali wa tamasha la Fiesta 2014 wakiendelea kutumbuiza jukwaani. Mwanadada Feza Kessy akiimba jukwaani wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyka mwishoni mwa wiki katika viwanja vya...

 

10 years ago

GPL

WASANII SERENGETI FIESTA 2014 NDANI YA BREEZE FM

Wasanii wanaotarajiwa kufanya shoo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 leo wakisubiria kufanyiwa mahojiano ndani ya kituo cha Redio cha Breeze FM cha mjini Tanga mapema hii. Msanii kutoka Kundi la Yamoto Band, Dogo Aslay akizungumzia namna watakavyotoa burudani kwa mara ya kwanza mjini Tanga katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Mkwakwani.… ...

 

10 years ago

GPL

VANESSA MDEE AKITOA BURUDANI SERENGETI FIESTA 2014

Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akitoa burudani usiku huu katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 viwanja vya Leaders Club jijini Dar. …

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Shangwe za Serengeti Fiesta 2014 zatawala Musoma

Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Musoma lililofanyika usiku wa kuamkia leo Jumatatu (September 7) katika uwanja wa Karume limeacha historia kutokana na shangwe kutoka kwa wasanii mbalimbali ambapo kila mmoja alionyesha uwezo wake mbele ya mashabiki hao. Full shangwe Musoma Tamasha hilo lililoanza saa nne za usiku liliendana sambamba shughuli za maombolezo kwaajili ya watu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani