Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DODOMA

Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo. Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DODOMA

Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo.Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Msanii zao la Serengeti Super Nyota G-Lucky akifanya makamuzi ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma.Y-Tony akiwajibika kwenye tamasha la Serengeti Fiesta lililokuwa likifanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Chipukizi wa Bongo Fleva,...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DAR

Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na T.I usiku wa kuamkia leo Ledears Club.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Shangwe za Serengeti Fiesta 2014 zatawala Dodoma

Wakazi wa Dodoma na viunga vyake wamepokea shangwe za burudani ya Serengeti iesta 2014 iliyofanyika Jumapili (October 5) ndani ya viwanja vya Jamhuri Dodoma. Ali Kiba akiwa kwenye pozi ndani ya jukwaa la fiesta Dodoma Tamasha hilo ambalo lilihudhuriwa na wakazi wengi wa mjini Dodoma lilipambwa na wasanii, Young Killer, Jux, Stamina, Fid Q, K. […]

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI TANGA

Mshindi wa Serengeti Super nyota 2013, Edo Boy akifungua burudani. Young killer akikonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo .…

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI MBEYA

Msanii wa Bongo Fleva, Linex akitoa burudani usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Umati wa mashabiki katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.…

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI SINGIDA

Msanii wa Bongo Fleva, Linnah Sanga akifanya vitu vyake stejini katika Serengeti Fiesta Singida usiku wa kuamkia leo. Linnah akilishambulia jukwaa.…

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA NDANI YA GEITA

Mkali kutoka pande za Mwanza, Young Killer akichana mistari stejini. Ommy Dimpoz akiimba kwa pamoja na mrembo kutoka pande za Geita nyimbo ya ME & YOU. Niki wa Pili akiwakilisha Crew ya Weusi. …

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

GPL

BACKSTAGE YA SERENGETI FIESTA 2014 DAR

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma 'Diamond' akifanya yake. Nasibu Abdul Juma 'Diamond' (katikati) akiwa na walinzi wake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani