Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Shangwe za Serengeti Fiesta 2014 zatawala Dodoma

Wakazi wa Dodoma na viunga vyake wamepokea shangwe za burudani ya Serengeti iesta 2014 iliyofanyika Jumapili (October 5) ndani ya viwanja vya Jamhuri Dodoma. Ali Kiba akiwa kwenye pozi ndani ya jukwaa la fiesta Dodoma Tamasha hilo ambalo lilihudhuriwa na wakazi wengi wa mjini Dodoma lilipambwa na wasanii, Young Killer, Jux, Stamina, Fid Q, K. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Shangwe za Serengeti Fiesta 2014 zatawala Musoma

Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Musoma lililofanyika usiku wa kuamkia leo Jumatatu (September 7) katika uwanja wa Karume limeacha historia kutokana na shangwe kutoka kwa wasanii mbalimbali ambapo kila mmoja alionyesha uwezo wake mbele ya mashabiki hao. Full shangwe Musoma Tamasha hilo lililoanza saa nne za usiku liliendana sambamba shughuli za maombolezo kwaajili ya watu […]

 

10 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DODOMA

Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo.Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Msanii zao la Serengeti Super Nyota G-Lucky akifanya makamuzi ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma.Y-Tony akiwajibika kwenye tamasha la Serengeti Fiesta lililokuwa likifanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Chipukizi wa Bongo Fleva,...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DODOMA

Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo. Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Moshi ilikuwa ni shida

Wakazi wa Moshi usiku wa August 30 walipata burudani za shangwe ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika katika viwanja vya Majengo kutoka kwa wasanii mbalimbali. Tazama picha za show hiyo. Mamong’oo ndio walifunga show Mapacha Maua Sama Nay wa Mitego na Stamina Nickson George wa Clouds TV Producer Lamar akiwarusha mashabiki wa Moshi kwa ngoma za […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha za msanii T.I alipowasili nchini tayari kutumbuiza Serengeti Fiesta 2014

1 (8)

Msanii wa kimataifa wa muziki wa Hip pop, Clifford Harris, T I akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa JK Nyerere, tayari kwa onyesho na Serengeti Fiesta 2014, linalofanyika leo Leaders Club jijini Dar es Salaam.

3 (1)

4

 

11 years ago

Bongo5

Serengeti Fiesta 2014 Mwanza: Wasanii wazungumza na waandishi wa habari (Picha)

Baadhi ya wasanii waliowasili jijini Mwanza kwaajili ya show ya Serengeti Fiesta 2014 itakayofanyika Jumamosi (August 9) katika uwanja wa CCM Kirumba, Ijumaa hii wamekutana na kuzungumza na waandishi wa habari jijini humo. Nay wa Mitego Miongoni mwa wasinii waliowasili tayari ni pamoja na Nay wa Mitego, Chege,Makomando, Linah, Mr Blue, Nyandu Tozi, Young Killer […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wakazi wa Singida wapata burudani ya kutosha ya Serengeti Fiesta 2014

Wakazi wa mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo wamepata burudani ya kutosha ya Serengeti Fiesta ambapo zaidi ya wasanii 15 walitumbuiza. Full shangwe Singida Show hiyo iliyofanyika katika katika uwanja wa Namfua ilihudhuriwa na wakazi wa Singida na vitongoji vyake huku Nay wa Mitego, Mr Blue, Dully Sykes, Makomando, Linah, Recho, Mwana FA, Nick […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: T.I, Davido, Waje na wengine waacha historia Serengeti Fiesta Dar 2014

T.I, Davido, Waje, Victoria Kimani pamoja na wasanii wa hapa nyumbani jana October 18 wameacha historia katika tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyikia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Msanii wa Hip Hop kutoka Marekani, T.I. Tazama picha za show hiyo. Diamond alipanda na gwanda za jeshi Diamond na Davido wakicheza kwa madaha […]

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Mwanza yafana ndani ya uwanja wa CCM Kirumba

Wasanii mbalimbali jana August 9 waliwaburudisha mashabiki wa muziki wao katika tamasha la Serengeti Fiesta jijini Mwanza. Diamond na Linah Miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Stamina,Madee,Dogo Janja,Jokate, Nay wa Mitego,Nyandu Tozi, Mr Blue, Diamond, Chege na Temba na wengine wengi. Hizi ni picha za show hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani