Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSD YAZINDUA RASMI TAARIFA YAKE YA MWAKA 2013/2014 (ANNUAL REPORT)

Na Dotto Mwaibale
BOHARI ya Dawa (MSD) imezindua rasmi taarifa yake ya mwaka 2013/2014 (Annual Report), ambayo ilizinduliwa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa MSD, Profesa Idris Ali Mtulia.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa taarifa hiyo, Profesa Mtulia alisema kupanda kwa huduma za usambazaji dawa, upatikanaji wa dawa kutoka asilimia 55 hadi 85 ni jambo la kujivunia.
Kaimu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas Mwaifwani alisema mpango wa MSD kwa sasa ni kuanzisha maduka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wasira awasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15. Wageni wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) ambao ni baadhi ya viongozi waandamizi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa umakini uwasilishaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na...

 

10 years ago

GPL

OFISI YA MKEMIA MKUU YATOA TAARIFA YA DAWA ZA KULEVYA YA MWAKA 2013 NCHINI

Kushoto ni  Mkuu wa kitengo cha Jinai Kemia, Elias Mulima pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi na Makosa ya Jinai na Vinasaba, Gloria Omary wakisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Gloria Omary alipokuwa akizungumza katika hafla hiyo.…

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lukuvi atoa taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge),Mh. William Lukuvi akisoma taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013,wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mjini Dodoma leo.
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.Kitabu cha Kurasa 56 chenye taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2013.Baadhi ya picha za vielelezo ndani ya taarifa hiyo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii,Kanda ya Kati.

 

11 years ago

Mwananchi

Jumuiya ya A. Mashariki: Mwaka 2013 iliyumba, kila nchi ilifanya yake

Mwaka 2013 uhusiano katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulionekana kuyumba hasa baada ya nchi za Kenya, Rwanda na Uganda kujitenga na kuanza kutekeleza baadhi ya miradi iliyoonekana kuwa ni ya jumuiya hiyo.

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA MAMA MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA 2013-2014 YAZINDULIWA

Kwa mara ya kwanza nchini, shindano la mama mjasiriamali bora wa mwaka 2013-2014 limezinduliwa rasmi jana katika ukumbi wa Hoteli ya Johannesburg iliyopo maeneo ya Sinza Mori jijini Dar. Shindano hilo lililodhaminiwa na Global Publishers ltd, K-finance limited na Tazama Intertainment, limewajumuisha akina mama wajasiriamali wajane wapatao 17 kutoka sehemu mbalimbali jijini hapa ambapo watafundishwa mbinu za ujasiriamali na...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/2014

Dk. Maria Kamm akiwasii ndani ya Ukumbi wa African Dreams. Mama Magreth Sitta (kushoto) akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa alipowasili ukumbini.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani