Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHAHARA MDOGO UNAWEZA KUKUPA UMILIONEA

KILA mmoja anawaza juu ya kuwa milionea. Sidhani kama yupo mtu ambaye asingependa kuwa na mafanikio ya kifedha duniani. Hata hivyo, wale wanaopata kipato cha chini, wameondoa mawazo yao katika uwezekano wa kuwa mamilionea, wanaona ni jambo lisilowezekana. Lakini nawathibitishia kwamba uwezekano huo upo, tena mkubwa. Ipo mishahara ambayo watu wanapata, ambayo kwa akili ya kawaida inakuaminisha kwamba ni ndoto ya mchana kuweza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VIDOKEZO VINAVYOWEZA KUKUPA MAFANIKIO

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Dk. Reginald Mengi. KILA mara nimekuwa nikiwaeleza watu wangu wa karibu kuwa maisha yako ya baadaye yanaanza na kile unachokifanya leo. Kama wewe unatamani maisha ya kitajiri, basi msingi wake unakutegemea jinsi utakavyoanza kuujenga hivi sasa. Wapo baadhi ya watu wana ndoto za maisha mazuri na ya kitajiri kwa kutegemea yaje kama wanavyoota. Wengine utawasikia ipo siku watakutana...

 

11 years ago

GPL

USIJIDANGANYE, UBAHILI WAKO HAUWEZI KUKUPA MAFANIKIO!

Ndugu yangu, maisha ni fumbo kubwa ambalo hakuna ajuaye nini kitatokea sekunde mbili zijazo! Kila wakati huwa tuko katika fumbo hili. Ndiyo maana karibu kila kitu kitokeacho duniani huendelea kuwa kipya kwa sababu hakuna awezaye kujua nini kinaweza kutokea muda mchache ujao.
Jijengee utamaduni wa kusaidia wasiojiweza. Kwa kufanya hivyo, utakuwa unajiwekea kumbukumbu bora na njema sana. Hakuna uwekezaji mzuri katika maisha kama...

 

9 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI #RECRUITME INAVYOWEZA KUKUPA UJUZI UTAKAOKUSAIDIA KUPATA KAZI UITAKAYO

Na Jamiimojablog Ujuzi, katika soko la ajira ni mali ambayo inahitaji matengenezo na uboreshaji. Kama mali nyingine yoyote, matumizi yake bora, hukuzalishia zaidi. Sababu nyingi zimetolewa katika kipindi cha miaka mingi kwamba kuna utofauti wa wazi baina ya mtu mwenye elimu aliyeko kazini na mwenye elimu bila kazi. Utofauti huo ni jinsi ujuzi wa watu hao wawili unavyotumika.


Vijana wengi wa Tanzania wana ujuzi waliopata kutokana na mafunzo mbalimbali, lakini baadhi yao kushindwa kutumia...

 

10 years ago

Bongo5

P-Square ni mashabiki wa ‘Nitampata Wapi’ na Mdogo Mdogo za Diamond

Unataka kuyakuna masikio ya P-Square? Usiimbe kwa kuchanganya na ladha ya Nigeria, imba Bongo Flava halisi! Hilo ndio somo ambalo Diamond amelipata wiki hii kutoka kwa Peter na Paul Okoye. Msanii wa kundi la P-Square, Peter Okoye akibadilisha mawazo na Diamond Platnumz Diamond pamoja na wasanii hao nguli wa Afrika na wengine wakiwemo Flavour na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani