Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDOKEZO VINAVYOWEZA KUKUPA MAFANIKIO

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Dk. Reginald Mengi. KILA mara nimekuwa nikiwaeleza watu wangu wa karibu kuwa maisha yako ya baadaye yanaanza na kile unachokifanya leo. Kama wewe unatamani maisha ya kitajiri, basi msingi wake unakutegemea jinsi utakavyoanza kuujenga hivi sasa. Wapo baadhi ya watu wana ndoto za maisha mazuri na ya kitajiri kwa kutegemea yaje kama wanavyoota. Wengine utawasikia ipo siku watakutana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

USIJIDANGANYE, UBAHILI WAKO HAUWEZI KUKUPA MAFANIKIO!

Ndugu yangu, maisha ni fumbo kubwa ambalo hakuna ajuaye nini kitatokea sekunde mbili zijazo! Kila wakati huwa tuko katika fumbo hili. Ndiyo maana karibu kila kitu kitokeacho duniani huendelea kuwa kipya kwa sababu hakuna awezaye kujua nini kinaweza kutokea muda mchache ujao.
Jijengee utamaduni wa kusaidia wasiojiweza. Kwa kufanya hivyo, utakuwa unajiwekea kumbukumbu bora na njema sana. Hakuna uwekezaji mzuri katika maisha kama...

 

11 years ago

GPL

MSHAHARA MDOGO UNAWEZA KUKUPA UMILIONEA

KILA mmoja anawaza juu ya kuwa milionea. Sidhani kama yupo mtu ambaye asingependa kuwa na mafanikio ya kifedha duniani. Hata hivyo, wale wanaopata kipato cha chini, wameondoa mawazo yao katika uwezekano wa kuwa mamilionea, wanaona ni jambo lisilowezekana. Lakini nawathibitishia kwamba uwezekano huo upo, tena mkubwa. Ipo mishahara ambayo watu wanapata, ambayo kwa akili ya kawaida inakuaminisha kwamba ni ndoto ya mchana kuweza...

 

11 years ago

GPL

VIDOKEZO MUHIMU BAJETI YA WIZARA YA ULINZI

WABUNGE wameendelea kuchangia hotuba ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kutenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi aliyoitoa jana. Vifuatavyo ni baadhi ya vidokezo vilivyochangiwa na waheshimiwa wabunge wa Bunge la 10 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkutano wake wa 15 kwenye kikao chake cha Saba. Wataalamu tunao, tumewatelekeza- Anna Abdalah
MBUNGE wa Viti Maalum, Anna Abdalah amesema nchi imewatelekeza wataalamu mbalimbali waliopo jeshini,...

 

9 years ago

GPL

VYAKULA VINAVYOWEZA KUMPA HESHIMA MWANAUME FARAGHA!

Wanawake wengi walio kweye ndoa wanalalamikia uvivu wa waume zao wanapokutana faragha. Utasikia mwanamke akisema kuwa mumewe ni mchomvu hali inayomfanya wakati mwingine apate mawazo ya kumsaliti. Hiki siyo kitu kizuri na nimekuwa nikisema mara kwa mara kwamba, wanandoa wana jukumu la kushibishana chakula cha usiku bila visingizio. Kama mke au mume ana tatizo ‘sirias’ linalomfanya asiwe fiti, ni vyema jitihada zikafanyika ili...

 

10 years ago

Bongo5

Je wajua vitu vinavyoweza kukuza au kuua ubunifu wako?

Ulimwengu tulionao na vitu vinavyoendelea vipo kwa sababu kuna watu waliweza kutumia muda wao na wanaendelea kutumia muda wao kubuni vitu mbalimbali kila siku. Hivyo basi kuna watu ambao wanajaribu kuja na wazo au kitu kipya kila siku huke wengine wakijiuliza na kusema hawawezi kubuni kitu kipya kabisa. Tofauti kati yetu na watu wengine ambao […]

 

9 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI #RECRUITME INAVYOWEZA KUKUPA UJUZI UTAKAOKUSAIDIA KUPATA KAZI UITAKAYO

Na Jamiimojablog Ujuzi, katika soko la ajira ni mali ambayo inahitaji matengenezo na uboreshaji. Kama mali nyingine yoyote, matumizi yake bora, hukuzalishia zaidi. Sababu nyingi zimetolewa katika kipindi cha miaka mingi kwamba kuna utofauti wa wazi baina ya mtu mwenye elimu aliyeko kazini na mwenye elimu bila kazi. Utofauti huo ni jinsi ujuzi wa watu hao wawili unavyotumika.


Vijana wengi wa Tanzania wana ujuzi waliopata kutokana na mafunzo mbalimbali, lakini baadhi yao kushindwa kutumia...

 

5 years ago

Michuzi

LISHE BORA PAMOJA NA MAZOEZI VINAVYOWEZA KUIMARISHA KINGA YA MWILI

Poleni na majukumu ya kazi huku tukiendelea kujikinga na janga hili la ugonjwa wa  COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona

Nimeona ni vizuri  kuandika ujumbe huu mfupi kutokana na sintofahamu ya watu wengi  katika jamii yetu kuhusiana na baadhi ya vyakula kutibu ugonjwa wa COVID-19 .

Kutokana na janga hili watu wengi wamejikuta wakila kundi moja la vyakula kwa madai  ya kuuwa virusi vya  Corona. Kuna baadhi ambao wanaamini wakitumia juice za limao na tangawizi zitawasaidia kupona ugonjwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Vidokezo vya kukabiliana na karantini kwa wale waliojitenga nyumbani

Unawakati mguu kukabiliana na kujitenga. Kati ya 2013 na 2018 zaidi ya watu 60,000 walikuwa chini ya kifungo cha nyumbani nchini Urusi. Simulizi ya baadhi yao kama walivyozungumza na mwandishi wa BBC.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani