VIDOKEZO MUHIMU BAJETI YA WIZARA YA ULINZI
![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfiVqWmhTz7EkpJpSEdEJcu19PxRoRgM4slac27lAmPmI7j8XI0bw4BOC4H0Yr5huqmS7vzYVKVcOuxNyx6noB4x/RaisahutubiaBungelaKatiba1.jpg)
WABUNGE wameendelea kuchangia hotuba ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kutenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi aliyoitoa jana. Vifuatavyo ni baadhi ya vidokezo vilivyochangiwa na waheshimiwa wabunge wa Bunge la 10 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkutano wake wa 15 kwenye kikao chake cha Saba. Wataalamu tunao, tumewatelekeza- Anna Abdalah MBUNGE wa Viti Maalum, Anna Abdalah amesema nchi imewatelekeza wataalamu mbalimbali waliopo jeshini,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ewtGeW3gRL8/U3I8blUm5qI/AAAAAAAFhXg/bmZ07ztr6nQ/s72-c/unnamed+(74).jpg)
DR MWINYI AWASILISHA Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
![](http://4.bp.blogspot.com/-ewtGeW3gRL8/U3I8blUm5qI/AAAAAAAFhXg/bmZ07ztr6nQ/s1600/unnamed+(74).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-QSHRaITrTPY/U3I8d8PxKHI/AAAAAAAFhXo/TEqabO2l3yI/s1600/unnamed+(77).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-OFNqiqyWoic/U3I8f083JdI/AAAAAAAFhXw/_JZwPu4iPgY/s1600/unnamed+(72).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-g-xFnhFtUY0/U3I8hOjThkI/AAAAAAAFhX4/bzb09JPz_Gk/s1600/unnamed+(75).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pbK2WEx0ZdM/Xnt0yn-xwhI/AAAAAAALlB4/KyjI8xt9ETkxciN80ezGZo7wXZXV9gKywCLcBGAsYHQ/s72-c/Picha%2B1.jpg)
KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAPITIA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21 KILICHOFANYIKA JIJINI DODOMA LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-pbK2WEx0ZdM/Xnt0yn-xwhI/AAAAAAALlB4/KyjI8xt9ETkxciN80ezGZo7wXZXV9gKywCLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B1.jpg)
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Katikati), Katibu Mkuu, Christopher Kadio (Kulia) na Naibu klatibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza Kikao Cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wizara hii imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020/21 katika Kikao kilichofanyika Jijini Dodoma leo.
![](https://1.bp.blogspot.com/-wDvsc-57EWo/Xnt0y8s_BjI/AAAAAAALlCA/hcqW-2O4u5gjJiXyPPUaB3i5B0apD3lcgCLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B2.jpg)
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Kushoto), Katibu Mkuu, Christopher Kadio...
10 years ago
Mwananchi11 Jun
MAONI: Leo ni Bajeti, ni muhimu kuisikiliza, kuielewa
10 years ago
Mwananchi13 May
MAONI: Bajeti ni muhimu zaidi, wabunge waache siasa
11 years ago
Michuzi08 May
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Waiponda Bajeti Wizara ya Afya
11 years ago
Mwananchi13 May
Bajeti za wizara zinaandaliwa kisanii
11 years ago
Habarileo12 May
Bajeti ya Wizara ya Kilimo yapita
PAMOJA na wabunge kuchachamalia makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa kuondoa shilingi mara kadhaa, bajeti hiyo ilipita pamoja na maboresho.
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Bajeti ya Wizara ya Fedha ni kufuru