Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LISHE BORA PAMOJA NA MAZOEZI VINAVYOWEZA KUIMARISHA KINGA YA MWILI

Poleni na majukumu ya kazi huku tukiendelea kujikinga na janga hili la ugonjwa wa  COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona

Nimeona ni vizuri  kuandika ujumbe huu mfupi kutokana na sintofahamu ya watu wengi  katika jamii yetu kuhusiana na baadhi ya vyakula kutibu ugonjwa wa COVID-19 .

Kutokana na janga hili watu wengi wamejikuta wakila kundi moja la vyakula kwa madai  ya kuuwa virusi vya  Corona. Kuna baadhi ambao wanaamini wakitumia juice za limao na tangawizi zitawasaidia kupona ugonjwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mazoezi gani bora kwa mwili wako?

Kila mwanadamu ana mwili tofauti na anapaswa kufanya mazoezi kulingana na aina ya mwili wake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Vyakula unavyohitaji kuimarisha kinga yako mwilini

Virusi vya corona Covid-19 vimefanya uharibifu katika kila sekta ya maisha yetu duniani kuanzia China, Marekani bara Asia hadi Afrika.

 

11 years ago

GPL

FUNGA HUIMARISHA KINGA YA MWILI

Kuna funga za aina nyingi, lakini kubwa ni ya kiroho ambayo waumini hufunga kwa ajili ya kutii maamrisho ya Mungu, ingawa ufungaji wake unatofautiana kutoka dini moja hadi nyingine. Wakati Waislamu wanafunga kwa kutokula kitu chochote kuanzia asubuhi hadi jua linapozama, Wakristo wao wakati wa funga huruhusiwa kula, lakini kwa kiasi na utaratibu maalum. Tunaposikia neno kufunga, wengi tunaliangalia tendo hilo kwa upande wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mazoezi kuimarisha tendo la ndoa hata kwa wazee

Naendelea kujibu maswali yaliyoulizwa katika mada hii iliyoanzia wiki iliyopita na leo nitafafanua juu ya mazoezi ambayo ni muhimu kumwezesha mtu kuwa na uwezo mzuri wa kufanya tendo la ndoa.

 

10 years ago

Michuzi

JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA DAWA-LISHE NA KUNENEPESHA, KURUTUBISHA NA KUONGEZA MWILI.

Dawa-lishe  ya  kuongeza, kurutubisha  na  kunenepesha  mwili, ni  dawa  maalumu  kwa  watu  wenye  uzito  wa  chini  (  Under weight ) ambao  wanataka  kuongeza  mwili  na  uzito.Dawa  hii  huwasaidia  watu  ambao  miili  yao  imedhoofu  kutokana  na  sababu  mbalimbali  kama  vile  kuugua  magonjwa  na  maradhi  mbalimbali.Na  kwa  wale  watu  wembamba  ambao  wanataka  kuongeza  miili  yao, dawa  hii  huwasaidia  vizuri  sana. 
Kusoma zaidi makala hii BOFYA...

 

11 years ago

Mwananchi

Hatari: Uchomaji mifuko ya plastiki hushusha kinga za mwili, huathiri akili

Maendeleo ya sayansi na teknolojia pamoja na kuongezeka kwa mahitaji ya vifungashio vya bidhaa viwandani, mauzo ya rejareja maduka na kwenye masoko, kumeongeza matumizi ya mifuko ya plastiki.

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA CHINA WAFANYA MAZOEZI YA KIJESHI PAMOJA

Wanajeshi wa Tanzania wakifanya mazoeziMkuu wa operesheni na utendaji kivita wa JWTZ, Meja Jenerali James Mwakibolwa, (Wapili kulia), akitazama silaha ya kivita, wakati wa maonyesho ya zana za kijeshi na uzinduzi wa mazoezi ya pamoja kati ya majeshi ya wanamaji kutoka China na Tanzania yaliyopewa jina la "Surpassing 2014" kwenye kamandi kuu ya wanamaji wa JWTZ, Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.Picha kwa hisani ya Father Kidevu

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUPAMBANA NA UKOSEFU WA LISHE BORA

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisalimiana na mwakilishi kutoka UNICEF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.  Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisikiliza kwa makini hoja iliyokuwa ikitolewa na mwakilishi kutoka CIFF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.

 Wajumbe kutoka nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya ( hayupo kwenye picha) alipokuwa akiwasilisha mada na kuchangia hoja mbalimbali katika mkutano uliohusu Lishe bora kwa mtoto...

 

9 years ago

Habarileo

Iringa watakiwa kuzingatia lishe bora

WAKAZI wa mkoa wa Iringa wametakiwa kushiriki vita dhidi ya utapiamlo, udumavu na upungufu wa damu kwa watoto, kwa kuwapa lishe bora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani