Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mazoezi gani bora kwa mwili wako?

Kila mwanadamu ana mwili tofauti na anapaswa kufanya mazoezi kulingana na aina ya mwili wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

LISHE BORA PAMOJA NA MAZOEZI VINAVYOWEZA KUIMARISHA KINGA YA MWILI

Poleni na majukumu ya kazi huku tukiendelea kujikinga na janga hili la ugonjwa wa  COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona

Nimeona ni vizuri  kuandika ujumbe huu mfupi kutokana na sintofahamu ya watu wengi  katika jamii yetu kuhusiana na baadhi ya vyakula kutibu ugonjwa wa COVID-19 .

Kutokana na janga hili watu wengi wamejikuta wakila kundi moja la vyakula kwa madai  ya kuuwa virusi vya  Corona. Kuna baadhi ambao wanaamini wakitumia juice za limao na tangawizi zitawasaidia kupona ugonjwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jinsi gani unashiriki katika kujifunza kwa mtoto wako?

Je unashiriki vipi katika kujifunza kwa mtoto wako katika mwaka mpya wa masomo?

 

9 years ago

Bongo5

Je unamwamini mpenzi wako kiasi gani?

Black-woman-white-man

Unamwamini mpenzi wako? Mfano ni huu hapa, Je anaweza kwenda likizo wakati wewe haipo likizo? Je unaweza kumruhusu kutoka na ex wake? Au ikitokea amekutana na ex wake mtaani kwa bahati mbaya na wewe ukiwepo unajisikiaje?

Black-woman-white-man

Au unaweza ukamwachia simu yako na usiwe na presha? Hayo maswali yanaweza kukujulisha akilini mwako ni kiasi gani unamwamini mpenzi wako. Kama humwamini mpenzi wako namna utakavyoitikia mambo hayo yanapotokea kuna ishara ambazo zitajulikana wazi kwamba humwamini hata kama...

 

11 years ago

GPL

ASICHOKIPENDA MPENZI WAKO, KUNA HAJA GANI KUKILAZIMISHA?

NI matumaini yangu kuwa umzima unaendelea vyema na majukumu ya kila siku kama kawaida. Mpenzi msomaji, hakuna kitu kizuri kama wapenzi waliotokea kupendana kwa dhati kuridhiana katika kila jambo. Tufahamu kwamba kutofautiana katika mambo ambayo yanagusa maisha hasa kwa wanandoa ni tatizo linaloweza kusababisha nyufa na furaha kutoweka. Mara kwa mara nimekuwa nikizungumza na watu walio kwenye ndoa, wengi wanaeleza kuwa kuna...

 

10 years ago

GPL

UNAPOKUWA FARAGHA NA MWENZA WAKO, NI MAZUNGUZO GANI YAFAA -2

Tunaendelea na mada yetu tuliyoianza wiki iliyopita ya mazungumzo yanayofaa unapokuwa faragha na mwenza wako.Nianze kwa kuwashukuru nyote mliochangia mada hiyo kwa njia ya ujumbe mfupi kwa lengo la kupanuana mawazo. Siwezi kuwataja kwa majina lakini nauheshimu mchango wa kila mmoja katika kuwekana sawa katika ulimwengu wa mapenzi ambao wengi wetu tunaishi ndani yake.Tunaendelea kuchambua mazungumzo yanayofaa ukiwa na mpenzi...

 

9 years ago

Michuzi

JE WAJUA MKATABA WAKO WA AJIRA NI WA AINA GANI KISHERIA.


Na  Bashir  Yakub
Kama  ilivyo  makubaliano  katika  shughuli  nyingine  za  kijamii  ajira  nayo  huwa  na  makubaliano  maalum  wakati   inapoingiwa. Makubaliano  haya ndiyo  huitwa  mkataba na  yumkini  huingiwa  kati  ya  wahusika  wawili  yaani  muajiriwa  na  muajiri. Aina  ya  mahusiano  wanayoingia  wahusika  ndiyo  huibua  aina za haki  na   wajibu  kwa  pande  zote  mbili. Mwenye  haki  hutakiwa  kutoa  haki  hiyo  kwa  mwenzake  naye  mwenye  wajibu  huwa  hana hiari  isipokuwa ...

 

10 years ago

GPL

UNAPOKUWA FARAGHA NA MWENZA WAKO, NI MAZUNGUZO GANI YANAFAA?

Ni matumaini yangu kwamba mpenzi msomaji wangu uko poa na unaendelea na majukumu yako kama kawaida.Ni wakati mwingine tunapokutana katika busati letu la mahaba, tukijuzana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi baina yako na mkeo/mumeo, mchumba au mpenzi. Hivi mkiwa wawili na mpenzi wako, katika mazungumzo ya kawaida huwa mnazungumza nini? Yawezekana ukaliona swali hili kama jepesi lisilo na maana lakini ukweli ni...

 

10 years ago

GPL

KUNA UBAYA GANI KUFUATILIA NYENDO ZA MPENZI WAKO?

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea nyema na maandalizi ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya. Mimi namshukuru Mungu kwa kila jambo ambalo amekuwa akinitendea katika kila siku ya maisha yangu na nimuombe tu anijaalie niwe miongoni mwa wale watakaouona mwaka 2015 wakiwa wazima. Mpenzi msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kusalitiwa na wapenzi wao waliotokea...

 

10 years ago

Vijimambo

PITIA HIZI PICHA NA UTAKUBALI KUWA MAZOEZI NI DAWA YA MWILI



 Dulla kijana wa Kitanzania aliejengeka mwili vilivyo kutokana na mazoezi na kula chakula kwa mpangilio. Kama unavyoona Dulla akiwa Gym ndani jiji la wasiolala New York anakoishi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani