Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jinsi gani unashiriki katika kujifunza kwa mtoto wako?

Je unashiriki vipi katika kujifunza kwa mtoto wako katika mwaka mpya wa masomo?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Unastahili kumsimamia mtoto wako kujifunza haya

Yapo masuala muhimu, ambayo kama mzazi unapaswa kuyazingatia katika malezi ya mtoto wako. Ikiwa mambo hayo yatasimamiwa vizuri ni wazi mtoto wako atapiga hatua vizuri katika ukuaji wake na hata kufikia kuwa mtoto mwema.

 

11 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kumfunza mtoto wako heshima

Unaelewa nini unaposikia neno heshima? Umewahi kufikiria jinsi gani unaweza kumlea mwanao katika misingi ya heshima? Heshima huanzia wapi hasa?

 

10 years ago

Michuzi

SIARA LEONE WAZURU NHIF KUJIFUNZA JINSI YA KUNDESHA MFUKO HUO KATIKA NCHI YAO

 Waziri wa Kazi na Hifadhi ya Jamii wa Siara leone,Dk.Mathew Teamba (Mwenye Tai nyekundu) akiwa Wajumbe nchi hiyo  waliokuja kutembelea  Mfuko wa  Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) ili kujifuza na kwenda kutekeleza katika nchi yao  hafla hiyo imefanyika katika  ofisi za Makao Makuu  leo jijini Dar es Salaam. Afisa wa uanachama wa NHIF,Twahiru Hauke  akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Kazi Maalum wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Siera leone,Mohamed Godoe walipotembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazoezi gani bora kwa mwili wako?

Kila mwanadamu ana mwili tofauti na anapaswa kufanya mazoezi kulingana na aina ya mwili wake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Vitu gani tunaweza kujifunza kwa nchi ambazo zimepambana mapema na corona?

Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa wimbi la pili baada ya kulegezwa kwa masharti

 

11 years ago

Mwananchi

Mzazi utarajie nini kwa mtoto baada ya kujifunza?

Lengo kuu la kumpeleka mtoto shule ni kujifunza. Katika kujifunza huko wazazi, walezi na jamii kwa jumla tunatarajia mabadiliko chanya kwa mtoto ambayo yanajengwa na uelewa na maarifa anayoyapata mtoto kutokana na kujifunza huko.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Hemedy ana ushauri kwa wanaume wa jinsi ya kumfanya mpenzi wako asikuache kamwe!

Hemedy PHD amejifunza kuwa kutulia na mpenzi mmoja, kuwa mwaminifu, kumpa muda wako mwingi haitoshi kumfanya mwanamke awe na furaha. Akiongea na Round Up, Hemedy amesema amegundua kuwa kuna vitu vingine vinavyoonekana kuwa ni vidogo lakini ni sumu katika uhusiano. “Ni tabia ndogo ndogo za wivu, ukorofi, ni vitu ambavyo mimi nilikuwa navyo ambavyo nilikuwa […]

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUJIFUNZA NA KUELEWA MASOMO MAGUMU

NDUGU mwanafunzi; bila shaka wewe ni moja kati ya wanaokiri kuwa masomo fulani ni magumu na umekata tamaa kuyasoma kiasi cha kusubiri kufeli katika mitihani yako. Kama siyo wewe basi unaweza kuwa umesikia baadhi ya wanafunzi wenzako wakilalamika kuwa: “Yaani masomo haya hatuyawezi.”  Kama mtaalam, natambua katika kutafuta elimu kuna masomo magumu na yamekuwa kikwazo cha wengi kutimiza ndoto zao. Kwa kufahamu hilo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni jinsi gani unampenda?

HABARI msomaji wa safu hii ya Urafiki na Mahusiano. Karibu tena katika safu hii wakati tukiwa katika msimu wa Sikukuu ya Pasaka. Ni matumaini yangu wote waliopo katika mahusiano ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani