Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA NA CHINA WAFANYA MAZOEZI YA KIJESHI PAMOJA

Wanajeshi wa Tanzania wakifanya mazoeziMkuu wa operesheni na utendaji kivita wa JWTZ, Meja Jenerali James Mwakibolwa, (Wapili kulia), akitazama silaha ya kivita, wakati wa maonyesho ya zana za kijeshi na uzinduzi wa mazoezi ya pamoja kati ya majeshi ya wanamaji kutoka China na Tanzania yaliyopewa jina la "Surpassing 2014" kwenye kamandi kuu ya wanamaji wa JWTZ, Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.Picha kwa hisani ya Father Kidevu

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa mazoezi ya pamoja kati ya majeshi ya wanamaji kutoka China na Tanzania yaliyopewa jina la "Surpassing 2014" kwenye kamandi kuu ya wanamaji wa JWTZ, Kigamboni

 Wanajeshi wa Korea wakionesha ukakamavu kwenye zoezi la  mapigano ya mikono mitupu Wanajeshi wa Tanzania wakifanya mazoezi ya nguvu Wanajeshi wa Tanzania wakifanya mazoezi ya nguvu Mkuu wa operesheni na utendaji kivita wa JWTZ, Meja Jenerali James Mwakibolwa, (Wapili kulia), akitazama silaha ya kivita, wakati wa maonyesho ya zana za kijeshi na uzinduzi wa mazoezi ya pamoja kati ya majeshi ya wanamaji kutoka China na Tanzania yaliyopewa jina la "Surpassing 2014" kwenye kamandi kuu ya...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA MABO YA NJE NA UBALOZI WA CHINA WAFANYA MKUTANO WA PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. 

Lu Youqing wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari maelezo siku ya Jumanne tarehe 25 Machi, 2014. Mkutano huo ulizungumzia maadhimisho ya miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia  kati ya Tanzania na China na mafanikio ya ziara ya Rais wa China aliyoifanya nchini ambayo imetimiza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi yaTaasisi ya UTT-PID ya Wizara ya Fedha pamoja na Menejimenti yake wafanya Ziara ya Mafunzo nchini China

kwana Bodi ya UTT-PID ikiongozwa na mwenyekiti wake Mrs. E Mlaki pamoja na Menejimenti wakiwa na wenyeji wao katika jiji la Chengdu ambapo walifanya ziara katika maeneo tofauti ya uwekezaji na manufaa wanayopata wananchi wa jiji hilo. Ziara hiyo ya siku Tano katika Miji tofauti inatarajia kukamilika Tarehe kumi kabla ya kurejea nyumbani.

Na Mwandishi Maalum

Bodi ya Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID), pamoja na Menejimenti yake ipo nchini China...

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yaanzisha mazoezi ya Kijeshi

Urusi imeanza mazoezi makali ya kivita yanayojumuisha kikosi cha anga cha wanajeshi 150

 

11 years ago

GPL

STAND UNITED WATUA BUKOBA, WAFANYA MAZOEZI

Wachezaji wa Stand United wakifanya mazoezi yao ya mwisho siku ya jana kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini tayari kwa mechi yao ya leo. Wachezaji wa Stand United wakiendelea kufanya mazoezi. Stand United wakipasha tayari kwa kipute na Kagera Sugar jioni ya leo. Kocha Mkuu wa timu ya Stand United Emmanuel Massawe (kushoto) akiwacheki Vijana wake… ...

 

5 years ago

BBCSwahili

China yaonyesha uwezo wake wa kijeshi kwa gwaride la nguvu

China ina kila sababu ya kusheherekea siku hii kwa shangwe baada ya historia kuwapitisha hatua ya kuwa taifa maskini na sasa ni taifa la pili duniani kwa kuwa na uchumi mkubwa duniani.

 

5 years ago

Michuzi

LISHE BORA PAMOJA NA MAZOEZI VINAVYOWEZA KUIMARISHA KINGA YA MWILI

Poleni na majukumu ya kazi huku tukiendelea kujikinga na janga hili la ugonjwa wa  COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona

Nimeona ni vizuri  kuandika ujumbe huu mfupi kutokana na sintofahamu ya watu wengi  katika jamii yetu kuhusiana na baadhi ya vyakula kutibu ugonjwa wa COVID-19 .

Kutokana na janga hili watu wengi wamejikuta wakila kundi moja la vyakula kwa madai  ya kuuwa virusi vya  Corona. Kuna baadhi ambao wanaamini wakitumia juice za limao na tangawizi zitawasaidia kupona ugonjwa...

 

10 years ago

Michuzi

MALAWI WAFANYA MAZOEZI CCM KIRUMBA LEO, TAYARI KUKUTANA NA TAIFA STARS KESHO JUMAPILI


Na Faustine Ruta, Mwanza.Timu ya Taifa ya Malawi (The Flames) pichani leo jioni imefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili Wenyeji wao Tanzania Timu ya (Taifa Stars) mchezo utakaochezwa kesho jumapili saa 10.30 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Wakibadilishana Mawazo wakati Wachezaji wa Malawi wanajifua mara ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jioni ya leo.
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa...

 

10 years ago

Michuzi

VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA MKOANI DODOMA VYAFANYA MAZOEZI YA PAMOJA


Na DORICE Kigombe wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma kwa kushirikiana na Idara mbalimbali za Serikali na wadau wa Amani Raia ,wamefanya matembezi/Routmatch ya pamoja kuzunguka mitaa mbalimbali ya mji wa Dodoma .Matembezi yaliongozwa na Mkuu wa Mkoa Dodoma Capt. Mstaafu CHIKU GALAWA.
Washiriki wa zoezi hilo ni Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi (JWTZ), Jeshi la Magereza, Uhamiaji, Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Wafanya biashara, Raia wema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani