Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIBA DMV NA TANZANIA: MISA YA MAREHEMU MAMA GREN JUDICA MOSHI

C:\Users\Manase User\Downloads\IMG_9141.jpgGren J Moshi: Sunrise 15 FEB 1948 – Sunset 24 OCT 2015
Familia ya Herman Moshi inapenda kuwataarifu ndugu, jamaa na marafiki waishio DMV na vitongoji vyake kwamba misa ya kumuombea mpendwa mama yao Bibi Gren Judica Moshi itafanyika siku ya Jumapili November 1st 2015 kuanzia saa tisa na nusu mpaka saa kumi na moja (3:30 – 5:00pm) katika kanisa la Faith Moravian Church lililopo 405 Riggs Rd NE, Washington DC 20011.
Mama yetu mpendwa Gren alifariki dunia ghafla Tanzania, siku ya Jumamosi October...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MISA YA MAREHEMU MAMA GREN JUDICA MOSHI Washington DC

Ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali, jana (Novemba mosi 2015) walijumuika na wanafamilia katika misa na kusherehekea maisha ya Mama Gren Judica Moshi iliyofanyika hapa Washington DCWatoto wawili wa Marehemu Donald na James Moshi, na ndugu wengine, waliungana kwa misa hiyo iliyofanyika alasiri na kufatiwa na chakula cha pamoja
Mchungaji kiongozi wa Kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries Ferdnand Shideko, akiwakaribisha watu waliohudhuria misa hiyo
Mch John Kadyolo akifungua misa kwa...

 

11 years ago

GPL

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MAMA MRS AURELIA FRANCIS NSOLO DMV‏

Picha ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo aliyefariki Marcha 17, 2014 Tanzania na kufanyika misa ya kumbukumbu College Park, Maryland. siku ya Jumapili March 23, 2014.
Wachungaji walioongoza misa hiyo wakiiombea familia ya marehemu kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo iliyofanyika…

 

11 years ago

Michuzi

MISA YA MSIBA DMV

Dada Sarah Mushi wa Ashburn, VA anapenda kuwajulisha na kuwaomba mjumuike nae katika misa ya mpendwa mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi itakayofanyika Jumamosi June 7, 2014 katika kanisa OUR SAVIOR'S WAY LUTHERAN CHURCH liliko Ashburn.
Our Savior's Way Lutheran Church, 43115 Waxpool Rd, Ashburn, VA 20148 Ibada itaanza saa 6:00 mchana. Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na David Kisanga: 703-932-0540 Mercy Ligate: 240-461-9477. Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe...

 

11 years ago

GPL

MISA YA MSIBA DMV‏

Dada Sarah Mushi wa Ashburn, VA anapenda kuwajulisha na kuwaomba mjumuike nae katika misa ya mpendwa mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi itakayofanyika Jumamosi June 7, 2014 katika kanisa OUR SAVIOR'S WAY LUTHERAN CHURCH liliko Ashburn.   Our Savior's Way Lutheran Church, 43115 Waxpool…

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Msiba wa Mama Kagaruki na Safari ya Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki kuelekea Tanzania

 Michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za msiba wa Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki aliyefariki dunia huko Philadelphia tarehe 28 April 2014 imekamilika. Mpaka sasa kiasi cha dolla 20,000 kimepatikana kama ifuatavyo:
·      Watanzania Marekani wametoa dolla 5,300 ·      Familia, ndugu na Jamaa wa Tanzania wametoa dolla 11,000 ·      Watoto wa Marehemu Erick na Mary Kagaruki wametoa kiasi kilichobakia cha dolla 3,700.   Watoto wa Marehemu Erick Kagaruki na Mary Kagaruki na...

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Msiba wa Mhe. Moshi Mussa Chang'a,nyumbani kwa marehemu Mbagala jijini Dar leo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa,Injinia Stella Manyanya akiwa ni mwenye majonzi wakati akisaini kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a ambae alifariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na Kisukari.  
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu,eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo taratibu zote zinafanyika hapo.
Taarifa za awali zinaeleza kwamba Shughuli ya kuaga...

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA MAREHEMU MAMA MPENDWA BI. AZIZA S. BORORO DMV

Familia ya Bwana Shariff na Bi Jamila inapenda kuwataarifu juu ya KISOMO cha kumaliza msiba wa mpendwa marehemu Mama yao Bi Aziza S.Bororo kitakachofanyika siku ya Jumamosi 01/10/15 nyumbani kwao kuanzia saa nane na nusu (2.30pm) Adress ni 12726 Gladys Retreat Circle Bowie ,Md 20720 .Tafadhali ukipata taarifa hii mjulishe mwenzako .Contact # 301-674-9667 Shariff202 -271-1860 Aunt Grace 301-395-5133 Aisha.

 

11 years ago

Michuzi

DMV YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU NA KUOMBOLEZA KIFO CAROLINE MWAISELAGE DMV

Misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jumamosi March 22, 2014 College Parka Maryland kwa ajili ya maerehemu Caroline Mwaiselage aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani aliyekutwa na mauati alipokua amekwenda Tanzania march 7, 2014 mwaka huu. Kushoto ni mume wa marehemu Chris Muhoka na kulia Martin Koroso aliyekuja toka Michigan  Watoto wa marehemu.  Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

Msiba Tanzania na DMV


Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147. 
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na: David Kisanga (703)932-0540.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani