Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msichana abakwa hadi kufa

>Mfanyakazi wa ndani, Isabella Andrew (18), amefariki dunia na kifo chake kikidaiwa kusababishwa na kubakwa na watu wasiojulikana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

MSICHANA ABAKWA HADI KUFARIKI DUNIA

Mfanyakazi wa ndani, Isabella Andrew (18), amefariki dunia na kifo chake kikidaiwa kusababishwa na kubakwa na watu wasiojulikana.Mwili wa msichana huyo ulikutwa ukiwa umeharibika katika moja ya pagale, lililopo Area C, Dodoma Mjini na mwandishi wetu alishuhudia ukitolewa hapo kwa machela huku polisi wakiwahoji mashuhuda wa tukio hilo.

Mkazi wa Mtaa wa Kiwanja cha Ndege, Jackson Coy aliyekuwa akiishi na binti huyo alisema msichana huyo alipotea tangu Jumamosi iliyopita.

Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

10 years ago

GPL

MTOTO MIAKA 5 ATEKWA DAR, ABAKWA HADI KUFA

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
NIkweli dunia imekwisha! Ni vigumu kuamini mtoto mdogo ambaye anahitaji uangalizi na ulinzi kutoka kwa jamii anageuzwa mwanamke na kuingiliwa kwa nguvu hadi mauti. Huu ni unyama na ukatili wa hali ya juu. Mtoto Ester Banzi enzi za uhai wake. Tukio hilo la kutisha lilitokea katikati ya wiki iliyopita, Tabata Msimbazi jijini Dar ambapo mtoto Ester Banzi ,5, (pichani) alikutwa na mauti...

 

11 years ago

Habarileo

Adaiwa kujinyonga hadi kufa

MKAZI wa Morogoro Said Tenga (53), amekutwa amekufa kwa kujinyonga chumbani.

 

11 years ago

Mwananchi

Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Sumbawanga, imemhukumu Malambi Lukwaja (47) Mkazi wa Kijiji cha Igalula, Tarafa ya Kabungu, Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ajinyonga hadi kufa Dar

WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la kujinyonga. Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema juzi saa...

 

10 years ago

Habarileo

Apigwa mawe hadi kufa

MKAZI wa kitongoji cha Mnele kijiji cha Chinongwe B katika kata ya Chinongwe wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Longino John (35) ameuawa kwa kupigwa mawe na hatimaye kuchomwa moto kwa madai ya kumjeruhi Mendrati Chinguile (63) ambaye ni mlemavu wa macho.

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WACHOMWA MOTO HADI KUFA

Baadhi ya wananchi wakishuhudia jinsi miili hiyo inavyoteketea. Matairi yaliyotumika kuwachomea vibaka hao yakiungua. Miili hiyo ikiteketea kwa…

 

11 years ago

BBCSwahili

Eid: 24 wakanyagwa hadi kufa Guinea

Watu 24 wamekanyagwa hadi kufa katika sherehe za kuadhimisha kukamilika kwa mfungo wa Ramadhan

 

10 years ago

BBCSwahili

44 waliteketea hadi kufa Tianjin China

Vyombo vya habari China vinasema watu arobaini wamefariki kutokana na milipuko mikubwa katika kiwanda huko Tianjin China

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani