Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO MIAKA 5 ATEKWA DAR, ABAKWA HADI KUFA

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
NIkweli dunia imekwisha! Ni vigumu kuamini mtoto mdogo ambaye anahitaji uangalizi na ulinzi kutoka kwa jamii anageuzwa mwanamke na kuingiliwa kwa nguvu hadi mauti. Huu ni unyama na ukatili wa hali ya juu. Mtoto Ester Banzi enzi za uhai wake. Tukio hilo la kutisha lilitokea katikati ya wiki iliyopita, Tabata Msimbazi jijini Dar ambapo mtoto Ester Banzi ,5, (pichani) alikutwa na mauti...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTOTO ATEKWA, ABAKWA, ATOBOLEWA MACHO

Stori: Shangwe Thani, Shinyanga
MTOTO Happiness Kashinje (9) (pichani)aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Negezi mjini Shinyanga, ameokotwa akiwa amekufa baada ya kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana kabla ya kubakwa na kutobolewa macho. Mtoto Happiness Kashinje (9) pichani kulia enzi za uhai wake. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni Nhelegani, Kata ya Kizumbi kilometa chache kutoka nyumbani kwao.
...

 

11 years ago

Mwananchi

Msichana abakwa hadi kufa

>Mfanyakazi wa ndani, Isabella Andrew (18), amefariki dunia na kifo chake kikidaiwa kusababishwa na kubakwa na watu wasiojulikana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka 3 abakwa Afghanistan

Mtoto Neelofar yuko katika hali mahututi, baada ya kubakwa na anahitaji matibabu ambayo anaweza kupokea tu hospitalini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka minne atekwa Mwanza

Mkoani Mwanza,Tanzania watu wasiofahamika wamevunja nyumba na kumteka mtoto mwenye ulemavu wa ngozi maarufu kama albino na kutoweka naye.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka sita abakwa India

Mtoto wa miaka 6 wa shule amebakwa na wafanyakazi wawili wa shule moja maarufu Kusini mwa mji wa Bangaloer nchini India.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Mtoto wa miaka 14 abakwa na vijana watano kwa zamu

>Vijana watano wanadaiwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 14 kwa zamu hadi kuzirai. Mtoto huyo alikuwa akitokea Kata ya Nyamatere kusherehekea matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Manispaa ya Musoma.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa miaka 6 afanyiwa vitendo vya kinyama abakwa na kunyongwa Singida

DSC03164

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka sita mkazi wa kitongoji cha Maweni kijiji cha Mayaha kata ya Minyughe tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida,Samaka Matawa,amefariki dunia baada ya kubakwa na kisha kunyongwa shingo.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP,Thobias Sedoyeka, alisema tukio hilo la kusikitisha na la...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanafunzi Atekwa, Abakwa na Kuuwawa Kinyama..

DUNIA imekwisha jamani! Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mabibo, Dar, Irene Said (15) ametekwa, amebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili huku ikidaiwa kuwa, kijana mmoja asiyejulikana alifika nyumbani kwao, Kigogo Luhanga na kutaka kiroba na mtu mmoja waongozane akabebe ndizi.
Akizungumzia tukio hilo la kusikitisha sana, mama mdogo wa marehemu, Doto Lucas alisema:“Siku ya tukio ambayo ni Alhamisi iliyopita (Machi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ajinyonga hadi kufa Dar

WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la kujinyonga. Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema juzi saa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani