Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msigwa, wengine 62 mbaroni

WATU 62, akiwemo Mbunge wa Iringa Mjini aliyemaliza muda wake, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema), wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuhusika kufanya fujo na kufunga barabara mjini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Msigwa, wafuasi 67 mbaroni Iringa

Mgombea ubunge wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msingwa na wafuasi 67 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu ambazo hazijafahamika hadi sasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa CUF Bukoba na wengine 15 mbaroni kwa tuhuma za kuchoma makanisa

Jeshi la Polisi limewakamata watu 16 akiwamo Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Bukoba kwa madai ya kuhusika na vitendo vya uchomaji wa makanisa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Bukoba.

 

5 years ago

Michuzi

WAWILI MBARONI KWA KUJARIBU KUINGIA MBUGA ZA WANYAMA KWA UJANGILI HUKU WENGINE WAKIMBILIA NCHI JIRANI YA KENYA Inbox x


Bunduki ya kivita aina ya AK47 ambayo imekamatwa wilayani Ngorongoro na Jeshi la polisi wakishirikiana pamoja na kikosi cha ujangili kanda ya Ziwa huko Oloshoo Kata ya Enguserosambu picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Sehemu ya risasi zilizokutwa kwenye magazine ya bunduki hiyo baada ya msako mkali wilayani Ngorongoro

Askari wa kikosi kazi cha Jeshi la Polisi akijaribu Silaha hiyo mbele ya waandishi wa habari kabla kamanda wa Jeshi hilo hajaongea nao leo jijini hapa

Kamanda Shana akiwa na...

 

11 years ago

Michuzi

34 MBARONI KWA KUFANYA FUJO NA KUHARIBU MALI KIBAIGWA NA WENGINE WATATU (3) KWA KULIMA BANGI HEKARI SITA NA NUSU MKOANI DODOMA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya kufanya fujo na kuharibu mali tukio lililotokea tarehe 05/05/2014 majira ya saa 13:30Hrs.
Kamanada wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema Vijana wanaokadiriwa kuwa zaidi ya miatatu wakishirikiana na Wabeba mizigo wa Soko Kuu la Mazao la...

 

11 years ago

Michuzi

34 MBARONI KWA KUFANYA FUJO NA KUHARIBU MALI KIBAIGWA NA WENGINE WATATU KWA KULIMA BANGI HEKARI SITA NA NUSU MKOANI DODOMA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. 
 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya kufanya fujo na kuharibu mali tukio lililotokea tarehe 05/05/2014 majira ya saa 13:30Hrs.   Kamanada wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP  (pichani)amesema Vijana wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 300 wakishirikiana na Wabeba mizigo wa Soko Kuu la Mazao...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msigwa aichana Serikali

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Serikali ya Rais Jakaya Kikwete haina dira wala mipango ya maendeleo na kuifananisha na timu ya mpira inayocheza kwenye uwanja usio na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wa Msigwa wazindua serikali

SIKU chache baada ya Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa kuonyesha video ya jinsi Kampuni ya uwindaji ya Green Miles Safaris Ltd, inavyokiuka sheria za uwindaji kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Msigwa asimamisha shughuli Iringa

>Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa jana alisimamisha kwa muda, shughuli za maelfu ya wakazi wa jimbo hilo ambao walijitokeza kumsikiliza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru ambao aliutumia kuelezea mafanikio aliyopata katika kipindi cha miaka mitano ikiwamo ya kuwafanya wajue haki zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msigwa: Baraza la Mawaziri limedumaa 

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), amesema asilimia 40 ya Baraza la Mawaziri limedumaa kwa sababu limeshindwa kutekeleza majukumu yake. Msigwa pia alikilaumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani