MSIKIE DC MAKONDA AKIFUNGUKA JINSI ALIVYOGOMBANIA CHAK...
![](http://img.youtube.com/vi/YWmubWtNfrs/default.jpg)
Brighton MasaluMAISHA usiyapimie! Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema katika harakati zake za maisha, aliwahi kugombea chakula na mbwa wakati akiwa chuoni wilayani Bagamoyo, kitu ambacho kilimuumiza mno.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Makonda alitoa maneno hayo wakati akizungumza katika semina ya kujikomboa kutoka katika umasikini inayofanyika kila Jumapili katika Ukumbi wa Victoria Petrol Station, Makumbusho jijini Dar es Salaam ambayo mhamasishaji mahiri nchini,...
Vijimambo