Msingi wa maisha yako, familia ni uwekezaji, chipsi kuku ni umaskini
![](https://1.bp.blogspot.com/-OrK_AOeNfg4/XmejbkxK7II/AAAAAAALidM/Q70bS4lz7HseIOF_Dkj8Yp6CVxSu1b8QACLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
FAMILIA za Kiafrika mara nyingi zimekuwa na wanafamilia wasiopungua wanane. Hiyo ni staili ya maisha hasa pale familia inapukuwa na ahueni ya kipato japo kidogo.
Utakuta familia kama hizo zina utamaduni wa kudekeza watoto, utasikia kanunueni chipsi kuku, watoto utawasikia wakisema sisi hatupendi ugali, maharage, mchicha na mtindi.
Maharage ndio usiseme kabisa, utamsikia mama akiwauliza watoto sasa mtakula nini? jibu rahisi la watoto utawasikia wakisema chipsi kuku au chipsi zege (mayayi) na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7mgiLAg8tr4/XmdxiMfkJDI/AAAAAAALiYM/lFKSjWYCci4ZrXVuQaw0ZpP1md7yZ7J2wCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
Msingi wa maisha yako, familia ni uwekezaji, chipsi kuku ni umaskini
Utakuta familia kama hizo zina utamaduni wa kudekeza watoto, utasikia kanunueni chipsi kuku, watoto utawasikia wakisema sisi hatupendi ugali, maharage, mchicha na mtindi.
Maharage ndio usiseme kabisa, utamsikia mama akiwauliza watoto sasa mtakula nini? jibu rahisi la watoto utawasikia wakisema chipsi kuku au chipsi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLaeVqBM1UBf3DezWUujyOAkwld5H3aTgedUEzhZwgYsGQGEj-x2w2Mgts9SmBMw6Dyi-y4Oh7GAFptRSL1Pvdr7*/Mayai.jpg?width=650)
BALAA LA WAJAWAZITO KUPENDA CHIPSI KUKU
10 years ago
Mwananchi02 Apr
‘Matokeo ya maisha yako ya sasa ni msingi wa maandalizi ya jana’
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Je, unaweza kuyakabili matatizo yasiathiri furaha yako na maisha yako?
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Ufisadi kupitia mifumo ya uwekezaji ni chanzo cha umaskini wa Afrika
9 years ago
Raia Mwema10 Dec
Huwezi kuendelea kufurahia harufu ya chips kuku yako huku umeshakula
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CaHbzy6ig3U/VmFdd7z-F4I/AAAAAAAIKIw/Sv0IOLPnv2I/s72-c/PICT%2B1.jpg)
AIRTEL FURSA YABADILISHA MAISHA YA KIJANA MFUGA KUKU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-CaHbzy6ig3U/VmFdd7z-F4I/AAAAAAAIKIw/Sv0IOLPnv2I/s640/PICT%2B1.jpg)
Afisa Uhusiano wa Airtel, Dangio Kaniki (kushoto) na Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (katikati) wakipima uzito wa kuku wa kienyeji wanaofugwa kisasa na kijana Mohamed Kigumi (kulia), anayeishi Kiluvyia jijini Dar Es Salaam baada baada ya kutembelewa nyumbani kwao na kuona maendeleo aliyoyapata baada ya kuwezeshwa na Airtel kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’ miezi sita iliyopita.
![](http://3.bp.blogspot.com/-4e0lO2FTu80/VmFdd2XnfZI/AAAAAAAIKIs/5U_cidYEpfM/s640/PICT%2B3.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Ilinde familia yako na homa
KUNA ana nyingi za homa, kila baada ya kipindi fulani kunatokea mlipuko wa homa. Wataalam wa afya na wanasayansi wanakesha wakihangaika kupata tiba ya homa na kinga. Serikali zimetambua umuhimu...