BALAA LA WAJAWAZITO KUPENDA CHIPSI KUKU
![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLaeVqBM1UBf3DezWUujyOAkwld5H3aTgedUEzhZwgYsGQGEj-x2w2Mgts9SmBMw6Dyi-y4Oh7GAFptRSL1Pvdr7*/Mayai.jpg?width=650)
Hamida Hassan Ugonjwa unaowakabili watoto waliotoka mgongo nje pamoja na vichwa vikubwa, unaelezwa kusababishwa na ukosefu wa Folic Acid mwilini, hali inayochangiwa na mama mjamzito kupenda kula chipsi kuku.Daktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, wodi ya watoto ya Moi, Agricore Joseph alisema wanawake wengi hufikia hatua ya kujifungua watoto wenye matatizo hayo kutokana na kupenda vyakula hivyo, kitu ambacho kinaweza...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OrK_AOeNfg4/XmejbkxK7II/AAAAAAALidM/Q70bS4lz7HseIOF_Dkj8Yp6CVxSu1b8QACLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
Msingi wa maisha yako, familia ni uwekezaji, chipsi kuku ni umaskini
FAMILIA za Kiafrika mara nyingi zimekuwa na wanafamilia wasiopungua wanane. Hiyo ni staili ya maisha hasa pale familia inapukuwa na ahueni ya kipato japo kidogo.
Utakuta familia kama hizo zina utamaduni wa kudekeza watoto, utasikia kanunueni chipsi kuku, watoto utawasikia wakisema sisi hatupendi ugali, maharage, mchicha na mtindi.
Maharage ndio usiseme kabisa, utamsikia mama akiwauliza watoto sasa mtakula nini? jibu rahisi la watoto utawasikia wakisema chipsi kuku au chipsi zege (mayayi) na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7mgiLAg8tr4/XmdxiMfkJDI/AAAAAAALiYM/lFKSjWYCci4ZrXVuQaw0ZpP1md7yZ7J2wCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
Msingi wa maisha yako, familia ni uwekezaji, chipsi kuku ni umaskini
Utakuta familia kama hizo zina utamaduni wa kudekeza watoto, utasikia kanunueni chipsi kuku, watoto utawasikia wakisema sisi hatupendi ugali, maharage, mchicha na mtindi.
Maharage ndio usiseme kabisa, utamsikia mama akiwauliza watoto sasa mtakula nini? jibu rahisi la watoto utawasikia wakisema chipsi kuku au chipsi...
10 years ago
Habarileo11 Dec
Muuza chipsi atunukiwa nishani ya ushupavu
MUUZA chipsi wa Dar es Salaam, Kassim Said (28), alivuta hisia za waalikwa na viongozi mbalimbali akiwemo Rais Jakaya Kikwete, juzi jioni kwenye sherehe za kutunuku nishani, baada ya kupewa Nishani ya Ushupavu, aliouonesha baada ya kumpiga jambazi kwa chepe na kufanikisha kukamatwa kwake.
10 years ago
Mwananchi29 Aug
VYAKULA NA MAGONJWA: Hadhari kwa watumiaji wa samaki, chipsi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6xzDXLZEGuv-QblZ68pYsC*8K-xIG*m1UdoEtmsodbHbPj1WQnu*vPva5tRekA25K-wPlQJLZ3wkyxXSAba7GhbREU6W9s3W/Daudi.gif?width=650)
MTEJA: KISA NILIMKOPA CHIPSI, AKANILIPUA KWA MAFUTA YA MOTO!
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Uhuru wa kupenda na kupendwa
10 years ago
Bongo519 Aug
New Video: Gudlucky — Kupenda
9 years ago
Bongo504 Dec
Music: Belle 9 – Kupenda
![InstaShot_20151203_222912](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/InstaShot_20151203_222912-300x194.jpg)
Huu ni wimbo kutoka kwa msanii Belle 9 unaitwa “Kupenda”
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Ainea sasa ajuta kupenda
MSANII anayekuja juu kwa kasi katika muziki wa kizazi kipya nchini, Kedimon Ainea, maarufu kama ‘Ainea’, anatarajia kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Najuta Kupenda’ hivi karibuni. Akizungumza na Tanzania Daima...