Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTEJA: KISA NILIMKOPA CHIPSI, AKANILIPUA KWA MAFUTA YA MOTO!

Shani Ramadhani na Haruni Sanchawa
Nusu kifo! Kijana aliyefahamika kwa jina la Hanafi Daudi (31), mkazi wa Salasala Kilimahewa jijini Dar, yupo katika hali tete kufuatia kumwagiwa mafuta ya moto yaliyokuwa yanakaangia chipsi.Hanafi ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Wodi ya Sewa Haji amesema aliyemchoma moto ni muuza chipsi ambaye alikwenda kumkopa chipsi. Hanafi Daudi akiwa na majeraha usoni baada ya kuchomwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO USONI, KISA MUME WA MTU!

NA WAANDISHI WETU MWANADADA aliyefahamika kwa jina moja la Mbuva, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar, hivi karibuni amejikuta akiharibiwa uso wake kwa kumwagiwa mafuta ya moto na shosti wake aitwaye Mama Sofia, kisa kikidaiwa ni mume wa mtu. Mbuva, akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa mafuta ya moto. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo inadaiwa mama Sofia alimfanyia mwenzake unyama huo akimtuhumu...

 

11 years ago

BBCSwahili

India, mteja mkubwa wa mafuta ya Nigeria

Serikali ya Nigeria inasema kuwa India imekuwa nchi inayonunua mafuta ghafi kwa wingi kutoka kwake kuliko Marekani

 

10 years ago

GPL

WAPOTEZA MAISHA KWA KUTEKETEA KWA MOTO WAKIIBA MAFUTA

TAARIFA zilizotufikia ni kwamba watu kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha kwa kuungua na moto uliolipuka wakati wakichota mafuta kutoka kwenye lori lililopata ajali usiku wa kuamkia leo eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mtu aliyekuwa eneo la tukio ni kwamba watu hao walikuwa wakiiba mafuta baada ya lori lililokuwa limebeba shehena ya mafuta kupata ajali kabla ya kulipuka na kusababisha maafa hayo. Mpaka...

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA, LATEKETEA KWA MOTO DAR

Mashuhuda wakieleza yaliyotokea. Wafanyakazi kampuni inayomiliki lori hilo ambayo bado haijafahamika, wakifanya tathmini ya hasara iliyopatikana.…

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO


Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Binti wa kazi ajeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa uji wa moto na mke wa bosi wake, kisa wivu wa kimapenzi

jeraha

Msichana Jackline Lasway akiwa amelazwa katika wodi ya kina mama namba mbili katika hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kujeruhiwa kwa kumwagiwa uji wa moto wakati akiwa dukani kwa bosi wake eneo la soko kuu Manispaa ya Singida.

Na Mwandishi Wetu , Singida.

Msichana mmoja mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa dukani  kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

Msichana huyo Jackline Lasway...

 

10 years ago

Mwananchi

VYAKULA NA MAGONJWA: Hadhari kwa watumiaji wa samaki, chipsi

>Kama moja ya njia ya kupunguza gharama za matumizi, watu wengi wanatumia mafuta yaleyale zaidi ya mara moja kukaangia vyakula mbalimbali.

 

9 years ago

Global Publishers

Baba awachoma moto wanaye, kisa samaki

IMG_20151216_170055

Ester Lucas akiwa na majeraha ya moto mkononi.

NA VICTOR BARIETY, Uwazi
GEITA: Baba mzazi wa watoto wawili, Lucas Petro mwenye umri wa miaka 29, anatafutwa na polisi kwa kosa la kuwachoma moto watoto wake, Denis (5) na Ester Lucas, 3, (pichani) baada ya kuwatuhumu kuiba mboga aina ya samaki kwa jirani yao, tukio lililotokea katika Kijiji cha Msasa, Kata ya Busanda wilayani Geita, mwishoni mwa mwezi Novemba, mwaka huu.

Wakizungumza katika ofisi za mtendaji wa kata kijijini hapo, watoto hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani