Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muuza chipsi atunukiwa nishani ya ushupavu

Rais Jakaya Kikwete akimvisha nishani ya ushupavu muuza chipsi, Kassim Said Kassim baada ya kupambana na kumdhibiti jambazi mwenye silaha. (Picha na Freddy Maro).MUUZA chipsi wa Dar es Salaam, Kassim Said (28), alivuta hisia za waalikwa na viongozi mbalimbali akiwemo Rais Jakaya Kikwete, juzi jioni kwenye sherehe za kutunuku nishani, baada ya kupewa Nishani ya Ushupavu, aliouonesha baada ya kumpiga jambazi kwa chepe na kufanikisha kukamatwa kwake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Muuza chips apata nishani ya Rais

Rais Jakaya Kikwete jana aliwatunuku nishati Watanzania 28, akiwamo muuza chips, Kassim Said Kassim (28), ambaye aliyepewa nishani na ushupavu baada ya kupambana na kumdhibiti jambazi mwenye silaha.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba atunukiwa nishani iliyotukuka

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba juzi usiku alikuwa miongoni mwa viongozi na watu mashuhuri waliotunukiwa nishani na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Askari shupavu wa kike atunukiwa nishani

Rais Jakaya Kikwete akimvalisha Nishani ya Ushupavu, Koplo Laura Philip Mushi wakati wa hafla ya utoaji wa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano kwa madaraja mbalimbali katika hafla ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam juzi. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete ametunuku watu 42 nishani akiwamo askari wa kike, Koplo Laura Mushi (32) kwa ushupavu alioonesha baada ya kupambana na kujiokoa dhidi ya majambazi waliomvamia hivi karibuni katika kituo cha ulinzi Mikumi, Morogoro.

 

10 years ago

Dewji Blog

Askofu wa kanisa la FPCT Singida mjini Paulo Samwel Njoghomi, atunukiwa nishani ya heshima ya udaktari

DSC07093

Maandamano ya sherehe ya  kutunukiwa nishani ya heshima ya udaktari Askofu Paulo Samwel Njoghomi (mwenye miwani) wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Singida mjini. Nishani hiyo imetolewa na Chuo kikuu cha Africa Graduate cha nchini Sierra Leone.

DSC07133

Mkuu wa chuo kikuu cha Africa Graduate Timoth Kazembe, akimtunuku nishani ya heshima Askofu wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Paulo Samwel Njoghomi Hafla hiyo ilifanyika katika kanisa la FPCT mjini hapa. DSC07112 Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Africa Graduate...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATUNUKIWA NISHANI YA BALOZI BORA WA AFRIKA BRUSSELS



Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa taasisi ya Global Change for Africa Award Mhe. Dr. Phillip Collins baada ya kutunukiwa nishani ya Balozi Bora wa Afrika Brussels wa mwaka 2015. Balozi Kamala katunukiwa nishani hiyo jijini Berlin Ujerumani kwa kuzingatia utendaji wake alipokuwa Waziri wa Afrika Mashariki, Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific, na Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Uholanzi,...

 

10 years ago

Mwananchi

Oscar Pistorius; toka ushupavu hadi uhalifu

Baba yake Reeva, Barry Steenkamp ameijia juu hukumu ya mwanariadha huyo kuwa aliua kwa bahati mbaya.

 

10 years ago

GPL

BALAA LA WAJAWAZITO KUPENDA CHIPSI KUKU

Hamida Hassan
Ugonjwa unaowakabili watoto waliotoka mgongo nje pamoja na vichwa vikubwa, unaelezwa kusababishwa na ukosefu wa Folic Acid mwilini, hali inayochangiwa na mama mjamzito kupenda kula chipsi kuku.Daktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, wodi ya watoto ya Moi, Agricore Joseph alisema wanawake wengi hufikia hatua ya kujifungua watoto wenye matatizo hayo kutokana na kupenda vyakula hivyo, kitu ambacho kinaweza...

 

10 years ago

Mwananchi

VYAKULA NA MAGONJWA: Hadhari kwa watumiaji wa samaki, chipsi

>Kama moja ya njia ya kupunguza gharama za matumizi, watu wengi wanatumia mafuta yaleyale zaidi ya mara moja kukaangia vyakula mbalimbali.

 

5 years ago

Michuzi

Msingi wa maisha yako, familia ni uwekezaji, chipsi kuku ni umaskini



FAMILIA za Kiafrika mara nyingi zimekuwa na wanafamilia wasiopungua wanane. Hiyo ni staili ya maisha hasa pale familia inapukuwa na ahueni ya kipato japo kidogo.

Utakuta familia kama hizo zina utamaduni wa kudekeza watoto, utasikia kanunueni chipsi kuku, watoto utawasikia wakisema sisi hatupendi ugali, maharage, mchicha na mtindi.

Maharage ndio usiseme kabisa, utamsikia mama akiwauliza watoto sasa mtakula nini? jibu rahisi la watoto utawasikia wakisema chipsi kuku au chipsi zege (mayayi) na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani