Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warioba atunukiwa nishani iliyotukuka

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba juzi usiku alikuwa miongoni mwa viongozi na watu mashuhuri waliotunukiwa nishani na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Muuza chipsi atunukiwa nishani ya ushupavu

Rais Jakaya Kikwete akimvisha nishani ya ushupavu muuza chipsi, Kassim Said Kassim baada ya kupambana na kumdhibiti jambazi mwenye silaha. (Picha na Freddy Maro).MUUZA chipsi wa Dar es Salaam, Kassim Said (28), alivuta hisia za waalikwa na viongozi mbalimbali akiwemo Rais Jakaya Kikwete, juzi jioni kwenye sherehe za kutunuku nishani, baada ya kupewa Nishani ya Ushupavu, aliouonesha baada ya kumpiga jambazi kwa chepe na kufanikisha kukamatwa kwake.

 

10 years ago

Habarileo

Askari shupavu wa kike atunukiwa nishani

Rais Jakaya Kikwete akimvalisha Nishani ya Ushupavu, Koplo Laura Philip Mushi wakati wa hafla ya utoaji wa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano kwa madaraja mbalimbali katika hafla ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam juzi. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete ametunuku watu 42 nishani akiwamo askari wa kike, Koplo Laura Mushi (32) kwa ushupavu alioonesha baada ya kupambana na kujiokoa dhidi ya majambazi waliomvamia hivi karibuni katika kituo cha ulinzi Mikumi, Morogoro.

 

10 years ago

Dewji Blog

Askofu wa kanisa la FPCT Singida mjini Paulo Samwel Njoghomi, atunukiwa nishani ya heshima ya udaktari

DSC07093

Maandamano ya sherehe ya  kutunukiwa nishani ya heshima ya udaktari Askofu Paulo Samwel Njoghomi (mwenye miwani) wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Singida mjini. Nishani hiyo imetolewa na Chuo kikuu cha Africa Graduate cha nchini Sierra Leone.

DSC07133

Mkuu wa chuo kikuu cha Africa Graduate Timoth Kazembe, akimtunuku nishani ya heshima Askofu wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Paulo Samwel Njoghomi Hafla hiyo ilifanyika katika kanisa la FPCT mjini hapa. DSC07112 Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Africa Graduate...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATUNUKIWA NISHANI YA BALOZI BORA WA AFRIKA BRUSSELS



Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa taasisi ya Global Change for Africa Award Mhe. Dr. Phillip Collins baada ya kutunukiwa nishani ya Balozi Bora wa Afrika Brussels wa mwaka 2015. Balozi Kamala katunukiwa nishani hiyo jijini Berlin Ujerumani kwa kuzingatia utendaji wake alipokuwa Waziri wa Afrika Mashariki, Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific, na Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Uholanzi,...

 

11 years ago

Mwananchi

Joseph Warioba: Nishani yangu haihusiani na Katiba

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Nishani ya Kuuenzi Muungano aliyopewa na Rais Jakaya Kikwete, haina uhusiano wowote na yaliyomo katika Rasimu ya Katiba.

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete atunuku Nishani 28

RAIS Jakaya Kikwete amewatunukia Nishani Watumishi wa Umma 28 kutokana na utumishi wa muda mrefu na ushupavu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani