Muuza chips apata nishani ya Rais
Rais Jakaya Kikwete jana aliwatunuku nishati Watanzania 28, akiwamo muuza chips, Kassim Said Kassim (28), ambaye aliyepewa nishani na ushupavu baada ya kupambana na kumdhibiti jambazi mwenye silaha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Dec
Muuza chipsi atunukiwa nishani ya ushupavu
MUUZA chipsi wa Dar es Salaam, Kassim Said (28), alivuta hisia za waalikwa na viongozi mbalimbali akiwemo Rais Jakaya Kikwete, juzi jioni kwenye sherehe za kutunuku nishani, baada ya kupewa Nishani ya Ushupavu, aliouonesha baada ya kumpiga jambazi kwa chepe na kufanikisha kukamatwa kwake.
11 years ago
Dewji Blog07 Sep
Rais atunuku Nishani za miaka 50 ya JWTZ
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani ...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI IKULU DAR
11 years ago
Michuzi.jpg)
Rais Kikwete atunuku Nishani na Tuzo Za miaka 50 Ya Muungano
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA JWTZ
10 years ago
MichuziRAIS JAKAYA KIKWETE ATUNUKU NISHANI MAOFISA 30 WA MAJESHI
10 years ago
VijimamboRais Kikwete atunuku Nishani Watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama
10 years ago
Vijimambo24 Jun
RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AWATUNUKU NISHANI WATUMISHI WA UMMA WALIOLILETEA SIFA TAIFA


10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

