MSOSI TIME KABLA YA MECHI
Wachezaji wa timu ya Mbeya City, wakipata chakula kwenye moja ya mgahawa katika mji wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, wakati timu hiyo ilipokwenda kucheza mechi ya kirafiki ya dhidi ya kombanini ya timu za City na Shinyanga United za wilayani humo. Mechi hiyo ilichezwa kwenye Uwanja wa Majimoto na timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. PICHA: GODFREY KAHANGO
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/LXCUWCrbopw/default.jpg)
9 years ago
Bongo509 Nov
Jurgen Klopp asikitishwa na mashabiki Liverpool kuondoka uwanjani kabla ya mechi kumalizika
![article-3309492-2E42F33300000578-88_964x406](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/article-3309492-2E42F33300000578-88_964x406-300x194.jpg)
Kocha Jurgen Klopp baada ya kopoteza mechi yake ya kwanza baada ya kuchukua mikoba ya Brendan Rogders baada kufungwa na timu ya Crystal Palace mashabiki wa Liverpool waliamua kuondoka uwanjani na walimuacha peke yake kocha Jurgen Klopp mara baada ya mlinzi wa Crystal Palace, Scot Danny kufunga goli la ushindi katika dakika ya 82 ya mchezo na kufanya matokeo kuwa 2-1.
Akiongelea tukio hilo baada ya mchezo huo kumalizika, kocha huyo raia wa Ujerumani alisema amesikitishwa sana na kitendo...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Mbwembwe na utani wa Neymar akiwa dressing room kabla ya mechi, mara achane nywele acheze muziki (+Video)
Stori za staa wa kibrazil Neymar katika umahiri wake wa kupiga chenga zimekuwa zikiingia katika headlines kila siku, najua umezoea kumuona Neymar na umbo lake dogo akiwapa shida wachezaji wenye maumbo makubwa kutokana na ufundi wake. Neymar ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo alijiunga nayo mwaka 2013 akitokea klabu ya Santos […]
The post Mbwembwe na utani wa Neymar akiwa dressing room kabla ya mechi, mara achane nywele acheze muziki (+Video) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Cheki video ya magoli ya mechi ya Simba Vs Jamuhuri, Full Time 2-2 Kombe la Mapinduzi 2016 …
Mtu wangu wa nguvu baada ya kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA ya Uganda dhidi ya JKU ya Zanzibar jioni ya January 4. Usiku wake ulipigwa mchezo wa pili wa Kundi hilo kati ya Simba na Jamuhuri ya Pemba. Mchezo wa Simba dhidi ya Jamuhuri ulimalizika kwa sare ya goli 2-2 na […]
The post Cheki video ya magoli ya mechi ya Simba Vs Jamuhuri, Full Time 2-2 Kombe la Mapinduzi 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXsyRubvmFfytfC72CQqYzpWhhoV36nes1EtOG0xQUOgX8RcrUyBAk561keAZqPERHN6Tw-BI1g6g0QYgjgV9lR/ray.jpg)
MSOSI WA KIGENI WAMSHINDA RAY
11 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA GLOBAL WAKIPATA MSOSI