Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MECHI YA YANGA NA SIMBA FULL TIME


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Cheki video ya magoli ya mechi ya Simba Vs Jamuhuri, Full Time 2-2 Kombe la Mapinduzi 2016 …

Mtu wangu wa nguvu baada ya kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA ya Uganda dhidi ya JKU ya Zanzibar jioni ya January 4. Usiku wake ulipigwa mchezo wa pili wa Kundi hilo kati ya Simba na Jamuhuri ya Pemba. Mchezo wa Simba dhidi ya Jamuhuri ulimalizika kwa sare ya goli 2-2 na […]

The post Cheki video ya magoli ya mechi ya Simba Vs Jamuhuri, Full Time 2-2 Kombe la Mapinduzi 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

MillardAyo

Video ya magoli ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015! Full Time 4-0

December 19 2015 ilikuwa siku nyingine kubwa kwa mashabiki wa soka la bongo, kwani ndio siku ambayo ulipigwa ule mchezo wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Yanga dhidi ya Stand United uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Hadi dakika 90 zinamalizika Yanga 4 – 0 Stand United, Matokeo ambayo yaliifanya Yanga kutimiza jumla ya point 30 na kuendelea […]

The post Video ya magoli ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015! Full Time 4-0 appeared first on...

 

11 years ago

GPL

MECHI YA WABUNGE: YANGA 1, SIMBA 1

Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Ahmed Ngwali katika kipindi cha kwanza. Mfungaji wa bao la Yanga akishangilia. …

 

11 years ago

Mwananchi

Vurugu ziepukwe mechi ya Simba, Yanga

>Timu mbili zenye upinzani wa jadi katika soka nchini, Simba na Yanga zinacheza leo katika mchezo wa kirafiki wa Nani Mtani Jembe.

 

11 years ago

GPL

KIINGILIO MECHI YA YANGA, SIMBA 7,000/-

Geilson Santana ‘Jaja’ akishangilia goli na wachezaji wenzake. Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000. Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akishangilia. Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika...

 

11 years ago

Michuzi

VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYATAJWA

Afisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania,Boniface Wambura akizungumza na wanahabari,wakati akitangaza viingilio na utaratibu wa kuingia uwanjani katika Mechi ya Watani wa Jadi,Simba na Yanga unaotaraji kuchezwa Oktoba 18,2014 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Picha na Othman Michuzi.Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000.
Washabiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani