Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtaa wa Msimbazi Kariakoo, wapigwa kufuli kwa muda

Barabara ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam, imefungwa kwa muda  ili kupisha ukarabati wa Barabara hiyo,ulioanza rasmi leo.ukarabati ushaanza kushika kasi katika Barabara ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo.kibao cha kuonyesha kufungwa kwa Mtaa huo kuanzia Barabara ya Morogoro mpaka Mtaa wa Mafia.hivyo watumiaji wa njia hii mnapaswa kutafuta mbadala wake.mambo yameiva Msimbazi. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

UJENZI WA BARABARA YA MSIMBAZI KARIAKOO MBIONI KUKAMILIKA

Katapila likionekana kusambaza mchanga katika barabara ya Msimbazi Kariakoo.
Gari la kushindilia mchanga likionekana kazini.
Gari likimwaga maji sehemu iliyomalizika kuwekewa mchanga tayari kwa kuweka lami.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Saada Mkuya afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo na Mtaa wa Namanga

01

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiongoza na viongozi wa mkoa wa kodi wa Ilala kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na maafisa wa Serikali alipofanya ziara ya kushtukiza leo jijini Dar es salaam katika soko la Kariakoo kujionea namna wafanyabiashara wanavyozingatia na kusimamia matumizi ya mashine za kielektroniki za EFD ambazo wanazopaswa kuzitumia mara wanapouza bidhaa zao ili kusaidia Serikali kukusanya mapato na kuboresha utoaji wa huduma za jamii nchini. Wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MSIBA WA NDUGU YETU MAREHEM BI.KHADIJA ISMAIL KUBE MTAA WA AGREY ,KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM

Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Bi. Khadija Ismail Kube maziko yatafanyika siku ya Ijumaa 21 -08-2015,saa 4.00 asubuhi nyumbani kwao mtaa Aggrey. Kariakoo msikiti wa Qiblatein mwenyezimungu amlaze mahala pema peponi.Taarifa zimetolewa na Masjid Qubah,Segerea mwisho,Dar.
Innalilahi Wainna Iilahi Rajiunn

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: MOTO WATEKETEZA JENGO MOJA MTAA WA LIVINGSTONE NA NARUNG'OMBE, KARIAKOO HIVI SASA

Moto mkubwa ukiendelea kuteketeza moja ya jengo lililopo kwenye makutano ya Mtaa wa LivingStone na Narung'ombe, Kariakoo jijini Dar es salaam muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.
Globu ya Jamii inafuatilia tukio hilo taarifa kamili itawajia baadae kidogo.

 

9 years ago

Dewji Blog

PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!

Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba)   vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Hamis Jamadary.   Na Mwandishi Wetu Mfuko wa hifadhi za jamii wa pensheni (PSPF) kwa kuwajali watanzania waanzisha kampeni ya mtaa kwa mtaa ili kuweza kuungana na wananchi wa maeneo mbalimbali kwa kuwapa elimu  inayohusu mfuko huo wa pesheni kampeni hizo zimeanzia jijini Dar es salaam kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani