MTANGAZAJI JERRY MURO AFUNGUKA MAKUBWA SASA KUZUA BALAA JIPYA
Baada ya kutoa documentary ya mgogoro wa ardhi Loliondo ikaleta utata, sasa kutoa ya pili. Na baada ya hapo atakuja na documentary ya kuonyesha jinsi biashara ya madawa inavyofanyika nchini, atakuja na yale majina aliyo nayo rais kikwete. Ameyasema hayo asubuhi alipokuwa katika kipindi cha asubuhi kinachorushwa live Clouds 360 clouds tv. Akiongea kwa jazba amesema haogopi yeyote na amejitoa mhanga.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Dec
Jerry Muro matatani
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) litamfikisha kwenye Kamati ya Maadili Mkuu wa Mawasiliano wa Yanga Jerry Muro kwa kauli za kibaguzi dhidi ya Mkuu wa Mawasiliano wa Simba, Haji Manara.
10 years ago
Mtanzania09 May
Uropokaji wamponza Jerry Muro
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) iliyokutana Mei 5, mwaka huu, imempiga faini ya Sh 5,000,000, Ofisa Habari wa klabu ya Yanga, Jerry Muro, kwa kutoa kauli za chuki, kisirani na uchochezi dhidi ya uongozi wa Bodi ya Ligi (TPLB) nchini na TFF.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, Muro alitoa utetezi wake mbele ya Kamati ya Nidhamu kukiri na kujutia kufanya kosa hilo na kudai ilitokana na ugeni wake katika...
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Kimondo FC yambadilikia Jerry Muro
UONGOZI wa Kimondo FC ya Mbeya unatarajia kuwasilisha barua kwenye Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuomba kufungiwa kutokujiusisha na soka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari wa Yanga, Jerry Muro kwa madai ya kutoa maneno machafu kwa Mkurugenzi wa timu hiyo, Erick Ambakisye.
Msemaji wa Kimondo FC Chriss Kashilika alisema jana kuwa uongozi wao ulitoa siku saba kwa Muro kumuomba msahama Ambakisye kutokana na maneno hayo machafu aliyomtolea mkurugenzi wao...
5 years ago
CCM Blog10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboJERRY MURO APIGWA FAINI YA MILIONI 5
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyoketi jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni tano), Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Jerry Muro kwa kutoa kauli za chuki, kisirani na uchochezi dhidi ya uongozi wa Bodi ya Ligi (TPLB) nchini na TFF.Akitoa utetezi wake mbele ya Kamati ya Nidhamu, Jerry Muro alikiri na kujutia kufanya kosa hilo na kudai ilitokana na ugeni wake katika uongozi wa michezo, kwa kuzingatia hilo kamati ilimuepusha na adhabu...
10 years ago
MichuziJERRY MURO APIGWA FAINI MILIONI 5
Akitoa utetezi wake mbele ya Kamati ya Nidhamu, Jerry Muro alikiri na kujutia kufanya kosa hilo na kudai ilitokana na ugeni wake katika uongozi wa michezo, kwa kuzingatia hilo kamati ilimuepusha na adhabu...
10 years ago
StarTV08 May
Jerry Muro atozwa faini ya milioni 5 na TFF.
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyoketi Jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni tano), Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Jerry Muro kwa kutoa kauli za chuki, kisirani na uchochezi dhidi ya uongozi wa Bodi ya Ligi (TPLB) nchini na TFF.
Akitoa utetezi wake mbele ya Kamati ya Nidhamu, Jerry Muro alikiri na kujutia kufanya kosa hilo na kudai ilitokana na ugeni wake katika uongozi wa michezo, kwa kuzingatia hilo kamati...
10 years ago
Bongo508 Sep
Jerry Muro ateuliwa kuwa msemaji mpya wa Yanga