Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANZANIA ATOLEWA BIG BROTHER

Matumaini ya watu wengi kumuona mshiriki  kutoka Afrika Mashariki ndani ya jumba la Big Brother Africa kuibuka na ushindi, yameshuka kwa kiasi kikubwa baada ya washiriki kutoka nchi mbili za Afrika Mashariki kutolewa nje ya jumba hilo. Aliekuwa mshiriki wa Tanzania Laveda. Wiki moja baada ya washiriki Lillian kutoka Nigeria, Esther kutoka Uganda na Sabina kutoka Kenya kutolewa kwenye mjengo huo, Mtanzania Laveda aliyekuwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?

Kuna habari mpya zinazosema kuwa kuna uwezekano shindano la Big Brother Africa ‘Hot Shots’ likahamishiwa jijini London, Uingereza baada ya nyumba ya Afrika Kusini iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya msimu wa tisa kuungua wiki iliyopita na kupelekea uzinduzi uliokuwa umepangwa kufanyika Jumapili iliyopita (September 7) kuahirishwa. Taarifa hiyo ambayo bado haijathibitishwa imetolewa kupitia ukurasa rasmi wa […]

 

10 years ago

Michuzi

Big Brother Hotshots revealed

Fans of Africa’s biggest reality show, Big Brother Africa, will no longer have to wait in anticipation until the launch on the 5th of October to meet the Big Brother Hotshots. 
In a bold and ground breaking move, M-Net and series producers Endemol SA will be delivering a new world first by unveiling the names of the participating housemates live on the official Big Brother website which launches at 14h00 CAT on  Wednesday 17 September.
Three Big Brother housemates will be introduced on a daily...

 

10 years ago

Bongo5

Big Brother Hotshots kuzinduliwa October 5

Shindano la Big Brother Hotshots litazinduliwa October 5, makampuni ya M-Net na Endemol SA yamesema. Makampuni hayo yamedai kuwa nyumba mpya ya Big Brother imepatikana jijini Johannesburg, Afrika Kusini baada ya kile walichodai moto kuunguza jumba la kwanza September 2. “M-Net and Endemol SA are pleased to announce that Big Brother Hotshots will officially launch […]

 

10 years ago

TheCitizen

Big Brother Africa takes a break

It is five months to the end of the year and anxiety is growing among fans of reality TV programme Big Brother Africa.

 

11 years ago

TheCitizen

Big Brother Africa: Now you love it, now you don’t

>With the year now well in, we are moving closer to the annual drama that is the Big Brother Africa (BBA) reality show, expected to come along in August.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyumba ya Big Brother yateketea A.Kusini

Uzinduzi wa makala mapya ya kipindi cha Big Brother umeahirishwa baada ya moto mkubwa kuteketeza studio zake mjini Johannesburg.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani