Nyumba ya Big Brother yateketea A.Kusini
Uzinduzi wa makala mapya ya kipindi cha Big Brother umeahirishwa baada ya moto mkubwa kuteketeza studio zake mjini Johannesburg.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo511 Sep
Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?
Kuna habari mpya zinazosema kuwa kuna uwezekano shindano la Big Brother Africa ‘Hot Shots’ likahamishiwa jijini London, Uingereza baada ya nyumba ya Afrika Kusini iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya msimu wa tisa kuungua wiki iliyopita na kupelekea uzinduzi uliokuwa umepangwa kufanyika Jumapili iliyopita (September 7) kuahirishwa. Taarifa hiyo ambayo bado haijathibitishwa imetolewa kupitia ukurasa rasmi wa […]
11 years ago
Bongo505 Sep
Big Brother Africa kuwasafirisha washiriki na maproducer popote pale nyumba mpya itakapopatikana ‘duniani’
M-Net na Endemol South Africa wamesema wanatafuta nyumba nyingine yenye kamera popote pale duniani, baada ya ile iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya kipindi cha Big Brother Afrika 2014 kuripotiwa kuungua mapema wiki hii. Msimu wa tisa wa Big Brother Afrika: Hotshots ambao umepangwa kuanza Jumapili hii (kama swala la moto sio stunt), ulitangazwa kuahirishwa kuzinduliwa kwa […]
11 years ago
Bongo506 Sep
Big Brother Africa: M-Net yatangaza kuwa nyumba mpya imepatikana na show itaendelea ‘mwezi ujao’
Baada ya uzinduzi wa msimu wa tisa wa show ya Big Brother Africa uliopewa jina la ‘HotShots’ uliokuwa ufanyike Jumapili hii, kutangazwa kuahirishwa baada ya kutokea kwa ajali ya moto iliyodaiwa kuteketeza nyumba iliyokuwa imeandaliwa kwaaliji ya show hiyo, hatimaye M-Net na Endemol SA wametangaza kuwa tayari nyumba imepatikana na show itaendelea. Katika taarifa iliyowekwa […]
11 years ago
Vijimambo
TAARIFA KAMILI KUHUSU JAMAA ATAKAYEIWAKILISHA TANZANIA KWENYE NYUMBA YA BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU

10 years ago
GPL
NYUMBA YA BATULI YATEKETEA MOTO
Imelda Mtema POLE sana! Staa mwenye mvuto mkubwa Bongo Movies, Yobunesh Yusuph ‘Batuli’ amepata pigo kufuatia nyumba anayoishi Mbezi Beach jijini Dar kuungua moto na kuteketeza vitu vyote ndani, Risasi Jumatano lina mkasa wote. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1JljG7Y
11 years ago
GPL
NYUMBA YA MSANII WA FILAMU YATEKETEA
Ashura Rashid ‘Saladini’. NYUMBA ya msanii wa filamu za Kibongo aliyewahi kutamba na muvi kali ya Saladini, Ashura Rashid ‘Saladini’ imeteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa, huku msanii huyo akihaha kusaka hifadhi kwa majirani, Chande Abdallah anakujuza. Tukio hilo lilitokea asubuhi ya Machi 6, mwaka huu maeneo ya Bugando jijini Mwanza wakati msanii huyo akiwa kwa majirani zake ambapo chanzo...
10 years ago
Bongo524 Aug
Nyumba ya Batuli yateketea kwa moto
Nyumba ya muigizaji wa filamu, Batuli imetekea kwa moto. Nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. “Nilikuwa saluni najiandaa ili niende kwenye fainali za TMT ndipo nilipopigiwa simu na majirani majira ya saa tatu usiku kuwa nyumba yangu inaungua na imeteketea yote kwa moto,” Batuli aliiambia Clouds FM. “Iliniuma sana vitu […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania