Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTI WA MLONGE NA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE-3

WIKI iliyopita tuliishia kwenye dalili za tatizo linaloitwa Pelvic Inflammatory Diseases (PID), leo tutajikumbusha dalili hiyo na tutaendelea na upande mwingine. DALILI ZA PELVIC INFRAMATORY DISEASES (PID)
Dalili ya kwanza ilikua ni hali ya kupatwa na maumivu makali sana wakati wa hedhi ambayo kitaalamu inaitwa Dysmenorrheal, tulisema kwamba maumivu haya makali wakati wa hedhi yamegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTI WA MLONGE NA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE-2

WIKI iliyopita tulizungumzia wanawake wanaokumbwa na tatizo hili la kuvimba kwa mirija ya uzazi na tukawasihi kwamba wanaweza kutumia mti wa mlonge ili kutatua tatizo hili la kuvimba kwa mirija ya uzazi, lakini kwa ufupi tu wangepata kujua ni jinsi gani wanaweza kukumbwa na tatizo kama hili: VYANZO
Vyanzo vya tatizo la kuvimba kwa mirija ya uzazi ya mwanamke ni kama vile:
Kukumbwa na bakteria mbalimbali sehemu za siri, lakini...

 

10 years ago

GPL

MTI WA MLONGE NA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE

Dk. Frank Ndiyanka
+255 713 112112 | +255 753 644644
LEO tutazungumzia mmea uitwao mlonge ambao ni moja ya mmea tiba unaotumika zaidi kumtibia mwanadamu.
Mmea huu katika pande zake zote hutumika zaidi katika matibabu, nikimaanisha kuanzia kwenye mizizi, magome, majani, pamoja na maua yake.
Mmea huu unaweza kumsaidia mwanadamu katika kutatua matatizo mbalimbali katika mwili wake na leo tutaanza na upande wa mwanamke...

 

10 years ago

GPL

MTI WA MLONGE NA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAUME-5

Mti wa Mlongwe. WIKI iliyopita tuliangalia tiba ya mmea huu wa mlonge kwa wanaume na tukaahidi kwamba suala hili tutaendelea nalo pia wiki hii na leo tutaendelea na pande zingine pia, lakini kabla hatujaendelea tujikumbushie kwanza upande wa magome yake. MAGOME YA MLONGE
Kwa mwanaume mwenye tatizo la kuwahi sana kufika kileleni anaweza kutumia magome ya mti huu wa mlonge kwa kuvuna vizuri na hasa kwa upande mmoja siyo kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DK. JUMA MWAKA: Tatizo la mfumo wa uzazi kwa wanawake ni kubwa

“MGONJWA akija na matatizo ya mfumo wa uzazi, chakula,  mishipa ya moyo na mifupa…huwa sina wasiwasi  kabisa kwa sababu najua lazima atapata tiba ya uhakika.” Hiyo ni kauli ya Daktari...

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YA UZAZI KWA AKINA MAMA

Akina mama wana matatizo mengi, mojawapo  kubwa linalowasumbua ni tatizo la kutokushika ujauzito.
Mwanamke kushindwa kupata ujauzito kwa kipindi cha ndani ya mwaka mmoja au zaidi ya mwaka  mmoja wakati mwanaume na mwanamke wanakutana kwa muda unaotakiwa na bila kutumia njia za kuzuia mimba ni tatizo. Kuna aina mbili ya tatizo hili moja hujulikana  zaidi kwa jina la primary infertility. Hii humaanisha  kuwa mwanamke...

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME NA JINSI YA KUYAKABILI

Viungo vya uzazi vya mwanaume vimegawanyika katika sehemu kuu mbili. Kuna viungo vya uzazi vya nje na vile vya ndani. Viungo vya uzazi vya nje ni vile tunavyoviona kama uume na mfuko wa korodani.
Viungo vya uzazi vya ndani ni mirija ya mbegu za kiume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu na tezi dume au tezi ya ‘Prostate’. Viungo hivi vyote vina umuhimu mkubwa kwa mwanaume katika kumfanikisha kuweza kufanya tendo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mfumo wa uzazi kwa mwanaume

MFUMO wa uzazi kwa mwanaume ni muunganiko wa viungo ambavyo viko sehemu ya chini kwenye kitovu ambavyo ni Internal na External, namaanisha viungo vinavyoonekana na viungo vya ndani. Viungo vinavyoonekana...

 

10 years ago

GPL

KUTOKUPEVUKA KWA MFUMO WA UZAZI (HYPOGONADISM)-2

Wiki iliyopita niliishia pale ambapo nilikuwa naeleza dalili za tatizo hili. Nikasema kwa mtoto wa kiume tatizo hili huathiri mfumo wake wa misuli na kuonekana mtoto na ndevu hazioti. Tatizo likitokea baada ya balehe hujikuta matiti yanakuwa makubwa kama msichana, ndevu na vinyweleo sehemu za siri na makwapani hupungua sana na hata huwezi kunyoa.Pia misuli huanza kunywea na kuonekana mwili unaanza kupungua, kupoteza hamu ya tendo...

 

10 years ago

GPL

KUTOKUPEVUKA KWA MFUMO WA UZAZI (HYPOGONADISM)

Hali hii hutokana na viungo vya uzalishaji wa vichocheo vya uimarishaji uzazi kwa mwanamke na mwanaume kutofanya kazi. Viungo au glandi hizi ni korodani kwa mwanaume na ovari kwa mwanamke. CHANZO CHA TATIZO
Tatizo hili linaweza kuwa linatokea tangu kuzaliwa au linatokea katika mfumo mzima wa mwili. Kwa tatizo la kuzaliwa nalo, korodani au vifuko vya mayai huwa havifanyi kazi ya kuzalisha vichocheo au homoni zinazohitajika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani