Mti wa mwembe ni tiba kuanzia majani hadi mizizi
TUNDA la embe linafahamika kutokana na kuwa na walaji wengi, lakini pamoja na kuliwa, lina kazi nyingi katika mwili wa binadamu. Mbali ya kuwa ni tunda na juisi yake kuwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
PSPF kupitia PSS yazidi kuchimba hadi mizizi katika kufanikisha kuwafikia wananchi kwa urahisi
Afisa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji.H.Jamadary akizungumza namna yakuweza kufaidika na uchangiaji wa hiari katika mfuko wa pensheni wa PSS.
Leo katika kuendelea kuchimba kwa mizizi kwa kuwapa elimu wananchi mbalimbali mfuko wa pensheni wa PSPF katika mpango wa kuchangia kwa hiari Pss umeweza kuwafikia wananchi wa Tandika na mashirika mbalimbali wameweza kuhudhuria katika semina hiyo iliyo andaliwa na mfuko huo
Semina hiyo ililenga katika wafanya biashara wa aina mbalimbali ambao...
11 years ago
GPLPSPF KUPITIA PSS YAZIDI KUCHIMBA HADI MIZIZI KATIKA KUFANIKISHA KUWAFIKIA WANANCHI KWA URAHISI
10 years ago
Habarileo26 Nov
Mbunge ataka kufahamu mafanikio ya ‘Kata Mti Panda Mti
TANGU kampeni ya upandaji miti ya ‘Kata Mti Panda Mti’ ianzishwe mwaka 1998, idadi ya miti 1,864,452,063 imepandwa kote nchini, Bunge limefahamishwa.
10 years ago
Mwananchi06 Jul
MARINA JUMA :Kuanzia mwanafunzi mmoja hadi shule kamili
11 years ago
Michuzi11 Feb
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA TIBA ASILI KIMATAIFA KUFANYIKA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM KUANZIA ALHAMISI HII
MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yamepangwa kufanyika jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia Novemba 16 hadi 23.
Maonyesho hayo ambayo yanafanyika nchini kwa mara ya kwanza yameandaliwa na Jukwaa la Tiba Asili Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Mamlaka ya ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE). Mwenyekiti wa Kamati ya Manndalizi ya Maonyesho hayo, Boniventure Mwalongo alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa...
10 years ago
Michuzi13 Nov
Huduma ya Treni ya Jiji yaahirishwa kuanzia leo hadi Jumatatu Novemba 17, 2014
Ufafanuzi wa sababu za kusitishwa huduma umeeleza kuwa kichwa kimojawapo ambacho hutoa huduma kimepelekwa Karakana Kuu ya Morogoro kwa ajili ya ukarabati maalum na kwamba kinatarajiwa kurejeshwa Dar es Salaam jioni ya siku ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CxM4bUEx1LA/VJiXEDDzKLI/AAAAAAAG5Ik/HrvaEIiJH3Q/s72-c/unnamed%2B(36).jpg)
its party time @ Isumba Lounge kuanzia leo Jumatano hadi Alhamisi ijayo...
![](http://2.bp.blogspot.com/-CxM4bUEx1LA/VJiXEDDzKLI/AAAAAAAG5Ik/HrvaEIiJH3Q/s1600/unnamed%2B(36).jpg)