Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTITU: SITAKI TENA UONGOZI BONGO MOVIE

Aliyewahi kuwa Katibu wa Klabu ya Bongo Movie, William Mtitu. Stori: LAURENT SAMATTA ALIYEWAHI kuwa Katibu wa Klabu ya Bongo Movie, William Mtitu amesema inawezekana watu wakawa bado wanahitaji kumuona akiwa kiongozi wa kundi hilo lakini yeye hahitaji tena kuongoza kutokana na kubanwa na kazi zake. Mtitu ndiye aliyekuwa kiongozi wa kwanza kujiuzulu nafasi hiyo baada ya mwenyekiti wake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BABA HAJI APIGA DONGO UONGOZI BONGO MOVIE

Na Gladness Mallya
STAA wa sinema za Kibongo, Haji Adam ‘Baba Haji’ amewatupia dongo kiaina viongozi waliopita kwenye Klabu ya Bongo Movie Unity kwa kuusifia uongozi wa sasa wa klabu hiyo unaoongozwa na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Staa wa sinema za Kibongo, Haji Adam ‘Baba Haji’. Akipiga stori mbili tatu na mwandishi wetu, Baba Haji alisema kuwa uongozi wa Steve umeleta mabadiliko...

 

10 years ago

GPL

DK. CHENI KUGOMBEA TENA BONGO MOVIE

Na Shani Ramadhani/Uwazi
MSANII mkongwe katika tasnia ya maigizo Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ amefunguka kuwa anasubiri kwa hamu usajili wa fomu ukamilike ili aweze kugombea tena uongozi wa Klabu ya Bongo Movie. Msanii mkongwe katika tasnia ya maigizo Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’. Akipiga stori na Uwazi, Dk. Cheni aliweka wazi kuwa ameanza kuona ndoto zake za kuiongoza klabu hiyo zitatimia...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE KIMENUKA TENA BONGO MOVIE

Stori: Mwandishi Wetu KIMENUKA! Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amechikichia mtonyo (fedha) mwingi wa klabu kwa masilahi yake. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho ndani ya klabu hiyo, juzikati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kipato, mavazi, changamoto kuu kwa uongozi mpya Bongo Movie

JANUARI 5, mwaka huu Klabu ya waigizaji ya Bongo Movie ilifanya uchaguzi wake wa kupata viongozi wapya watakaoiongoza  kwa mwaka mzima wa 2014 kama katiba yao inavyotamka. Katika uchaguzi huo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jack: Sitaki Tena Ndoa!

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa tena hii ni baada ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, Gadna Dibibi.

Jack alisema, kwa muda aliodumu kwenye ndoa ameshaona raha na karaha yake hivyo suala la kuolewa tena sasa hivi halipo akilini mwake.

“Katika ndoa lazima kuwe na mabaya na mazuri, hata hivyo siwezi kusema ndoa ni chungu hapana, ila mimi kwa sasa hivi nimeona nipumzike kwanza sitaki tena ndoa labda...

 

10 years ago

GPL

BELA: SITAKI TENA NDOA

Na Shani Ramadhani/Uwazi
HATIMAYE Miss Ruvuma 2008 ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’, ameweka wazi kuwa hataki tena ndoa. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na Uwazi, mwandishi wetu Bela alisema amefikia hatua hiyo baada ya kukaa kwa muda mrefu akisubiri ndoa bila mafanikio na maendeleo yoyote na...

 

5 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani